sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Rais akiwa anazungumza na Viongozi wa Wanafunzikutoka Zanzibar na Bara j,ana aliwataka waache kuiga uzungu. Rais anawataka wanafunzi kuzingatia mila na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakwenda kombo.
Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli hali ni mbaya hasa mikoani, wimbi la kulawitiwa limekuja juu sana. Ukifika Kilimanjaro hasa wilaya ya Moshi vijijini huwezi amini, ila ukweli ni kuwa watoto wadogo wanalawitiwa kama karanga za kukaanga. Nje ya watoto unaambiwa pahala kama Marangu mtoni sasa imekuwa fasheni, bodaboda asiyepandwa haoni kama kakamilika.
Huwezi amini, unaambiwa kati ya bodaboda watano, wanne wanapelekewa moto. Watoto wa Kichaga na weupe wao sasa wanapigwa ni hatari. Sababu kubwa ni kutaka maisha mazuri.
Wengi wanalelewa ovyo sana na mama zao kwa kuwapa kila kitu. Inapotokea mama zao wamefariki basi vijana wanaingia kwenye wingu nene ikiwemo kutafuna mirungi, mwishowe wanakosa hata chapaa ya kununua mirungi wanaona bora wapandwe.
Jamii inakwenda wapi? Tutafakari pamoja.
Jumapili njema.