Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Natamani niseme me too lakini niwe mkweli kupitia jf nimenufaika na mengi mno....labda nipunguze tu
 
Kweli mkuu whatsapp nikupoteza muda hata ukisema uitumie kutangaza biashara yako hakuna anayejali unaoneka unataka attention tu kutoka kwa watu lakini pesa hauingizi. Yaani hizi smartphone zinatoa sana kwenye reli vijana wengi mimi pia nikiwemo sijawahi nufaika na hii Smartphone yangu
 
No offense mkuu ila Kila comment yako nilikuwa nasoma Kwa sauti ya mshkaji Fulani huku kitaa ambaye aliuza ubongo wake Kwa makasi .
 
If you live in the past, the future will never find you.
Smartphone sio inayokufailisha ila machaguo yako ya jinsi ya kuitumia ndio yanayokufailisha.
Hata jembe ni kifaa cha kilimo ila ukilitumia kumpasua mtu basi litakifailisha
 
Kitu ambacho hakikunufaishi achana nacho.
 
Natamani niseme me too lakini niwe mkweli kupitia jf nimenufaika na mengi mno....labda nipunguze tu
Hamna dada humu JF hakuna faida yoyote dada angu wengi humu hawaishi maisha ya uhalisia wao wengi wanafeki na story na bunuasi. Ukitaka kupata elimu itakayokusaidia kwenye maisha basi ni mtaani ndio mahali sahihi maana mtaani ndio unakutana na real life
 
Nilikuwa nauguza bibi yangu na sikuwa na pesa but baadhi ya member humu hawakuniacha niaibike mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…