Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Biashara zote sikuhizi zinategemea social networks thru smartfones kukuza wigo wa wateja. Wewe bladfaken mmoja kutoka sweken huko unakuja kusema chimatifoni bla bla bla...shwain kabisa.
Dogo anakwambia digital marketing ni utaperi .

Hii mbuzi sijui ya wapi
 
Tatizo lako mbishi, unabisha kitu hukijui..

Ndio maana unaona unapoteza muda kutumia smartphone

Natakupa homework, Anza Google hiyo kitu digital marketing..

Hatuongelei Network marketing..
[emoji23][emoji23]Sawa Elon musk Najua apo ushapiga dollars fulani kila unapotumia google
 
So how do i get affected by those situations?
 
Kumbe kubetting nayo ni kazi??? Unatumia smartphone kubetting unasema unafanya kazi zako seriously???? Okay Sawa wewe ni Mo dweji
 
Dogo anakwambia digital marketing ni utaperi .

Hii mbuzi sijui ya wapi
Wewe ndio mbuzi hivi kwa akili yako unaamini biashara za online kukutoa kimaisha?? Kweli wewe kichwe bogus [emoji23][emoji23] halafu mnaamini zile apps za kudownloading money Loh! Shame on you
 
We jamaa upo upo kizamani sana,ivi unajua iyo mitandao watu wanaitumia kuingiza pesa,watu wanafanya online business zao mitandaoni ,sio Kila mtu yupo Facebook,insta na WhatsApp kupoteza muda,wewe ndo Haina faida kwako achana nayo .
 
Studies zinaonesha hivyo.

Ni afadhali kujizoeza kujisomea vitabu kuongeza kiwango cha ufahamu Na ubunifu kuliko umbea Na unywanywa wa kwenye mitandao ya jamii.
Kabisa mkuu tatizo la vijana wasasa hivi ni kupenda udaku, kufuatilia maisha ya wasanii mara wachezaji na mambo yasiyo na umuhimu
 
Kumbe kubetting nayo ni kazi??? Unatumia smartphone kubetting unasema unafanya kazi zako seriously???? Okay Sawa wewe ni Mo dweji
Hizo ni akili zako za Old stone age unazileta hapa........kwanza inawezekana nabishana na mtu asiye na exposure yoyote....... huduma zote muhimu zipo kwenye Simu......hayo ya kubet ni kukariri kwako na uelewa wako mdogo wa Dunia ilipo.

NB:Hii ndiyo comment ya mwisho, siwezi kuendelea kudebate na mtu anatumia kitochi,ni kupoteza muda
 
Mkuu unajidanganya aisee mm na muda sijawai fungua Facebook, Instagram hata mwaka unapita ntafungua mara Moja......

Badilisha mitazamo mkuu #Asap
😊😊
Watu tuna/ wana piga pesa na online shop...
Watu wanasoma wanachota maarifa πŸ€“πŸ€“ na online courses zimejaa everywhere...

Mkuu labda wanao shinda mtandaoni kusoma udaku na kuangalia wanawake wenye Makario makubwa......

Faida za mitandao in a positive way zipo nyingi sanaa & vise versa is true
 
Sawa bill gates kila la heri kwenye ku make money online uingize dollars you are billionaire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…