Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Ugumu wa maisha yako umesababishwa na ukosefu wa akili, huu uzi ni kipimo tosha cha uwezo wako wa kufikiri.
Utauza smartphone, baadae utauza nguo utembee utupu!
 
Hapana mkuu nineshaapa baada ya kuuza simu yangu sitatumia tena hizi smartphone labda mpaka pale nitakapo kuwa vizuri kiuchumi ila kwasasa ngoja nifocus na maisha yangu seriously
Smartphone still ni muhimu katika kukuza uchumi. Inafaida na hasara kama vitu vingine vilivyo na faida na hasara nikujitahidi kujicontral na kuepuka urahibu wa social media.
 
Smartphone ni office mzee. Amka toka usingizini
 
Smartphone kwangu ni life line , kuanzia asubuhi hadi usiku ni smartphone ina inafqnya kazi ..
Natumia kuangalia bidhaa sokoni,manunuzi ya bidhaa hizo nalipa kodi , kutuma na kupokea receipt etc
 
Hii ni kwa wabongo kwa sababu wabongo wengi social media wanaitumia kwa vitu vya kijinga sana.

Ukiwa na akili ni sehemu nzuri sana ya kuongeza ufahamu na elimu yako.
Una hoja mkuu usikilizwe..

Mtandaoni kuna knowledge balaaa
 
Wengine ndio ofisi zetu huko mkuu. Nadhani ni jinsi wewe unavoamua kutumia hicho kishkwambi chako tu
 
Basi wewe dream zako ni kuwa mchoma mkaa,au kuchunga ng'ombe ,hao wachoma mkaa na wanao chunga ng'ombe wanauza bidhaa mtandao ,huwezi ishi bila technologies ,kuna mda utapata fursa flani utataka utumie search engine kama google kujua upana na masoko ya fursa,waweza pata tatizo la kiafya ikawa mkombozi, waweza tafuta bidhaa ukaipata kea haraka,iuze kwanza halafu utaona manufaa badaye
 
Hii ni kwa wabongo kwa sababu wabongo wengi social media wanaitumia kwa vitu vya kijinga sana.

Ukiwa na akili ni sehemu nzuri sana ya kuongeza ufahamu na elimu yako.
Ukweli Mtupu..!

Inategemea na matumizi ya smartphone yako

Ukiitumia vizuri kwa mambo ya msingi na muhimu utafaidika sana, lakini ukiona mtu anatumia kwenye ponography, kamari na vitu visivyo na umuhimu maana yake hana matumizi sahihi
 
Hapana mkuu hayo magroup uko whatsapp nikupoteza muda na mabando huwezi kujiajili huko kwanza sidhani kama kuna uhakika wa biashara huko ni utapeli tu mkuu
Uhakika upo mkuu, inategemea tu na Mtu mwenyewe na akili yake

Kuna ambao kweli smartphone hawapaswi kuwa nayo kwsbb wanaishia kwenye pornography, kupiga picha na kamari, hawana matumizi mengine

Hao kisimu cha button cha cha 50K kinawatosha. kupiga, kupokea na kuwasha tochi tu
 
Kijana kwenye msafara wa mamba na kenge awakos ponda Mali kufa kwaja acha kuyaogopa maisha km umepangiw kutoboa kwa smart bas utatoboa 2 km ukupangia kutoboa kwa bas autotoboa sm nimenunua lake 4 nzima sm lait nngekuwa sitak kuitumia nmeinunulia nin hii sm kubwa acha kuwanjoy watu wakat we mwenyew unatumia sm mkubwa so muda wakutumia kiswaswadu huu kijana ponda Mali kufa kwaja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…