Ukitaka kufanya biashara, Anzia kuifanya Kichwani mwako na si usubiri ukiwa na Mtaji mkononi

Kuna wizi mkubwa unafanyika bandarini kama siku tatu nyuma kuna wadada walikuwa wanapeana habar jinsi wanavyo iba bidhaa mbali mbali hasa za mitumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo utaogopa kufanya biashara kisa kuna wezi? labda uniambie wanaoiba ni hao wasafirishaji
 
Nawaza nifingue Duka la maredio na Vifaa vya sola kwa mtaji wa M 15.
 
Nakuelewa saaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…