Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ujakosea hasa wewe mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujakosea hasa wewe mtoto
tuendelee kuwekeza kwenye mashangazi....Ujakosea hasa wewe mtoto
Sijui nani kawafundisha roho za kiibilisi.Kiasili wanawake ni makatili, wabinafsi na wanyonyaji
Ahahah ndio mkuutuendelee kuwekeza kwenye mashangazi....
Huyo baba kaenda kuoa kijijini kwao tangu 1989 aliporudi tu kutoka masomoni nchi za nje.Usifananishe wake na madanga. Ukioa mke Kuna Raha bwana mdogo
Mke ni kama mtoto, umleavyo ndivyo akuavyo. Mtoto Kama ukimzoesha Kila siku anayoenda shule unampa pocket money siku ukifeli haendi. Sawa na huyo bwana alishaweka kuwa huo ndio utaratibu wake kwahiyo usifananishe na wake zetu wanaotufanya tuhisi Dunia ya peke yetuHuyo baba kaenda kuoa kijijini kwao tangu 1989 aliporudi tu kutoka masomoni nchi za nje.
Ndoa yao ina miaka zaidi ya 30.
Kataa ndoa#KUBALI NDOA
Unaoaje sasa na pisi zote hizi 😄
jipatie tu lishangazi lako uende nalo kibishibishi....😂Unaoaje sasa na pisi zote hizi 😄
Oya mwamba huyo atoe mkono wake hapo atavunja ugoko huo 😄
ndoa utumwa#KUBALI NDOA
Hamna namnajipatie tu lishangazi lako uende nalo kibishibishi....😂
MsioleweNa sisi wa kike unatuambiaje