Hatari mkuu!! Week iliyopita nilikuwa hospital ya serikali pia,,Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu.
Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private.
Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa niseme umasikini ni laana.
Ni hatari sana --- no reforms_Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu.
Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private.
Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa niseme umasikini ni laana.
Tumewarahisishia huduma za kiafyaSisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu.
Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private.
Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa niseme umasikini ni laana.
Hata kwa waliopo kizimkazi?Tumewarahisishia huduma za kiafya
Fungua AfyaMingle App upate kuwasiliana na daktari popote ulipo
Tukiwambia No reform no election wanadhani masihara😀😀Ni hatari sana --- no reforms_
Tumeshakubaliana Mama Hanadeni sasa mnalalamika nini?Wanakutazama tu kama nyanya mbovu
Haya hatulalamiki tena basTumeshakubaliana Mama Hanadeni sasa mnalalamika nini?
Watz mmezidi kulalamika sana
Kaeni kwa kutulia......Haya hatulalamiki tena bas
Nakubaliana na wewe.Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu.
Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private.
Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa niseme umasikini ni laana.
Naam mkuu, mambonkama haya ndo yanaleta muunganiko wa pamoja kabisaTukiwambia No reform no election wanadhani masihara😀😀
Umeandika ukweli mtupu hospital binafsi nyingi pia majanga Wana kauli mbiu Yao wanasema " muwashie moto" ukisikia hivyo ujue unaweza Kuta laki 3 imeishia kwenye vipimo tu hujapata hata panadol .Nakubaliana na wewe.
Ila kama kweli una pesa na unataka huduma nzuri nenda huko huko kwenye hospitali za serikali.
Shida mkiwa na pesa mnaenda hospitali za binafsi mnatoa pesa bila kushurutishwa tena mkiwa wapoleee.
Ila mkienda hospitali za umma, hamna hata 100 ila mnabweka kama mbwa koko kwasababu kuna mwanasiasa kawaambia matibabu ni bure.
Huko private wewe waoneshe pesa uliyonayo, watahakikisha wanakuandikia vipimo na matibabu yote kulingana na pesa yote uliyonayo wahakikishe wanaongeza mapato.
Na vipimo vitaonesha unaumwa kila kitu, na dawa utaandikiwa zote, zigo la dawa.
Na kibaya zaidi unaweza hata usipone.