Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Hakuna kitu utanishauri sasa nikakuelewa 😂tafuta dokta wewe huyo atakulia visenti vyako tu kama LBL...🤣
Hakuna kitu utanishauri sasa nikakuelewa 😂tafuta dokta wewe huyo atakulia visenti vyako tu kama LBL...🤣
Hatujasema gharama. Tunaongelea huduma.ila wa tz kwa kulalamika wewe unafikili zile dawa na vifaa tiba vilanunuliwa kwa karatasi? unataka upewe huduma bure tu au vipi /serikali imejitahidi walau watoto wa chini ya miaka 5 na wajawazito huduma zao ni bure na wewe mtu mzima unataka utibiwe bure
Pale temeke ukiwa na bukuteni hata ukiwa wa mwisho utakuwa wa kwanza kumuona daktari na utahudumiwa vizuri sana 😀😃Inategemea na mfuko wako mkuu,. Wengine hizihizi za serikali wanapata huduma nzuri tena kwa haraka
Wanataka uutoe kwanza pesa ndio upate hudumaUlishawahi kwenda ofisi za nida uone vile wanadamu wa Tanzania wanafanya kazi kama vile wametumwa kukomoa watu?
Inawezekana lakini sikudaiwa hela ila ule mlolongo na maelekezo ya hovyo alafu bado nikakosa kitambulisho..Wanataka uutoe kwanza pesa ndio upate huduma
Kitambo sana hivi upo odo?hapa unafuu ni kila mtu kujenga hospital yake.
UmeonaeKusema kweli mi nimeelewa.
Hospital za Serkali ni uharo+ Mavi ya nyoka. Nilienda Hospt ya manispaa fln tangia saa3 tuna msubiri Dr kaenda kunywa chai hadi7 halafu akatibu lisaa tu akasema Musa umeisha kama utani akatokomea walaaniwe woteNakubaliana na wewe.
Ila kama kweli una pesa na unataka huduma nzuri nenda huko huko kwenye hospitali za serikali.
Shida mkiwa na pesa mnaenda hospitali za binafsi mnatoa pesa bila kushurutishwa tena mkiwa wapoleee.
Ila mkienda hospitali za umma, hamna hata 100 ila mnabweka kama mbwa koko kwasababu kuna mwanasiasa kawaambia matibabu ni bure.
Huko private wewe waoneshe pesa uliyonayo, watahakikisha wanakuandikia vipimo na matibabu yote kulingana na pesa yote uliyonayo wahakikishe wanaongeza mapato.
Na vipimo vitaonesha unaumwa kila kitu, na dawa utaandikiwa zote, zigo la dawa.
Na kibaya zaidi unaweza hata usipone.
Mkuu ndo ujibiwe kunya? Mbona hata ukienda private bado utajibiwa vizuri hata kama huna hela utarudi hujatibiqa sawa Ila walau umeelekezwa vizuri kiasi kwamba ukipata hela lazima uende tu hapohapoSasa unakuta daktari mmoja ana foleni ya wagonjwa 50... Nesi mmoja au wawili wanahudumia wodi nzima... Mfamasia mmoja hospital nzima... Halafu wanalipwa pesa ya mboga... Lazima huduma ziwe mbovu.
Halafu pia watanzania tujifunze kugharamika kwenye vitu vya msingi... Mtu ukimkuta bar weekend anaspend 100K Ila alienda hospital anataka atibiwa bure, na bima ya 40K
Sawa.Hospital za Serkali ni uharo+ Mavi ya nyoka. Nilienda Hospt ya manispaa fln tangia saa3 tuna msubiri Dr kaenda kunywa chai hadi7 halafu akatibu lisaa tu akasema Musa umeisha kama utani akatokomea walaaniwe wote
Ulitamani umlukie kwa makofiInawezekana lakini sikudaiwa hela ila ule mlolongo na maelekezo ya hovyo alafu bado nikakosa kitambulisho..
Bahati mbaya kitambulisho nilikua nakihitaji kwaajili ya shughuli moja muhimu sana hivyo ile shughuli ikafa, nikawa nimepata hasara ya nauli kufuata kitambulisho mkoani ambacho sikukipata na bado nikiwa nimehangaika vyakutosha mwisho nikapewa majibu mepesi mepesi kutoka ofisi za nida kwamba kupata hicho kitambulisho ni mpaka niende na SMS niliyotumiwa na NIDA ndipo waweze kukitafuta.