Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

daah wadau mi nishachoka na hawa jamaa coz ni-click kwenye 2nd round applctn kile ki-box cha kozi 1 kina appear so ndo inamaana 2nd applctn inanihusu au?

Angalia muonekano wa Apply 2nd Round na Add Seat (F.IV),Add Seat (F.VI) na My Profile kama ziko tofauti basi Umesha pita kijana! ila kama zina fanana rangi aza kujipapa na second round
 
jaman kulingana na research naona ka majina yatatoka sept saabu mwaka jana yalitoka 1st of sept so mi nadhan muache kumbwela 2 wakuu

mkuu upo sawa kabisa..ukiangalia heslb wamewapa wale waliokosea kujaza form zao deadline ya wiki mbili na tcu hawawezi ku publish matokeo kabla ya hawa wakuu so inabidi watu wapunguze mchecheto kidogo..matokeo ni september
 
ndo ivo cha msing n kupunguza hizi poct za kila badiliko dogo kweny tcu website af wanapoct same thng jipangen mapocter!
 
hii ss n poct ya 3 toka dakika chache 2 hiyo link ilipowekwa duh!
 
Nadoubt comments zenu mnazotea hapa kuhusu tcu! Either kwa uelewa wangu mkubwa au mdogo, kuandikiwa you are admitted maana yake nini? Ninavyojua mimi ni kuwa umetimiza vigezo vya kufanyiwa udahili kuingia chuo, yaani vyeti vyote na malipo ya awali, kwa sasa ndo wanakaa kuona huyu anaenda tumaini huyo imani na mwengine jangwani, na sivyo wengine wanavyopongezana humu kwamba wamechaguliwa kwa sababu ya kuwa na status ''you are admitted'' kwa wale wa tumaini, mbona kwenye selection slot wameandika...........not yet processed?...............je tcu wana utaratibu wa kutoa selection ki ma group toka lini? Kwanza wengine ndo wana takiwa kuapply wengine kutokua na vyambatanisho. Lipi ni lipi?
 
mh!! mkuu swal la msingi sana..embu tungoje maelezo toka kwa wadau wengine!!!!
 
wewe umeshaambiwa kama kwenye account yako una status ya 'you are admited' usiombe tena, sasa unavyogeuza kibao eti bado hatujachaguliwa ni nini, kwanza maana ya admission ni nini?
Maana yake si ni umechukuliwa/umechaguliwa?
 
kwaiyo kwenye selectn stutus ulitaka ukute we'r in process? Na vp kuhusu majina yaliotoka mda c mrefu?
 
Jordan university iko hapa bongo?kama ni hapa Tanzania basi Tz ni kichwa cha mwendawazimu,kila wakiamka vyuo,ndo maana watoto wa siku wanamalza chuo then kichwani hamna kitu
 
wewe umeshaambiwa kama kwenye account yako una status ya 'you are admited' usiombe tena, sasa unavyogeuza kibao eti bado hatujachaguliwa ni nini, kwanza maana ya admission ni nini?
Maana yake si ni umechukuliwa/umechaguliwa?

pole ndugu! ishu si kuomba ishu ni kuwa umepata admission? kuna wadogo zetu vijijini wantusumbua na hizo misplaced information kuwa wamechaguliwa! tuna waelewa jamani, selection zinatolewa kwa pamoja na si kwa vifungu kama nyanya.
 
daah even me nikilog in nakuta hiyo 2nd round button haipo active lakin nikienda kwenye profile naikuta ipo active!!!!!!!
 
How can you be admitted in a university which you haven't applied?? process imekwisha na vyuo vinamajina ya wanafunzi wao so It means everything is done!! Kinacho subiriwa ni hawa wa second application kujazilizia ADMISSION CAPACITY.
 
"You are admitted" = Umelazwa!!!!! Ama?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
daah even me nikilog in nakuta hiyo 2nd round button haipo active lakin nikienda kwenye profile naikuta ipo active!!!!!!!

Mkuu hata mimi nimeliona hili, ila kwa wale ambao hawajachaguliwa simo so itmeans I'm Goin In
 
kwaiyo kwenye selectn stutus ulitaka ukute we'r in process? Na vp kuhusu majina yaliotoka mda c mrefu?

hebu tusaidie kama unasema waliandikiwa you are admitted wameshachaguliwa, je kuna yeyote ambaye ameandikiwa you are not admitted? maana sidhan kama waliofanya application wote watakuwa wamekuwa admitted kama unachosema ndoicho, kwa sababu capacity ya vyuo vyetu haiwezi kuadmit wote laki na ushee walio apply!
 
"You are admitted" = Umelazwa!!!!! Ama?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

wewe ni seniour tena expert member andika vitu vyenye kichwa na si ....umelazwa ndo nini! tunataka vichwa vyenye kutafakari sio kucheua!
 
Reactions: SMU
how can you be admitted in a university which you haven't applied?? Process imekwisha na vyuo vinamajina ya wanafunzi wao so it means everything is done!! Kinacho subiriwa ni hawa wa second application kujazilizia admission capacity.

je kuna ambao status zinaonesha hawajawa admitted?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…