Dickson Alex
Member
- Jun 1, 2012
- 37
- 4
Nadoubt comments zenu mnazotea hapa kuhusu tcu! Either kwa uelewa wangu mkubwa au mdogo, kuandikiwa you are admitted maana yake nini? Ninavyojua mimi ni kuwa umetimiza vigezo vya kufanyiwa udahili kuingia chuo, yaani vyeti vyote na malipo ya awali, kwa sasa ndo wanakaa kuona huyu anaenda tumaini huyo imani na mwengine jangwani, na sivyo wengine wanavyopongezana humu kwamba wamechaguliwa kwa sababu ya kuwa na status ''you are admitted'' kwa wale wa tumaini, mbona kwenye selection slot wameandika...........not yet processed?...............je tcu wana utaratibu wa kutoa selection ki ma group toka lini? Kwanza wengine ndo wana takiwa kuapply wengine kutokua na vyambatanisho. Lipi ni lipi?
ukiona admitted ina maanisha umeshapata Chuo,yani jina lako lipo kwenye chuo fulani ndo maana wameweza kujua nafasi za slots yilizobaki...cjaongea tu ilimradi,nimeongea na wadau wenyewe kutoka UDSM(councelors).