NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 591
tcu kesho watakuja na hili "ambaye atashindwa kulog in ajue amepita"
Kijana kuwa mstaarabu nasi, mada kama hii inafaidagani hapa jamvini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tcu kesho watakuja na hili "ambaye atashindwa kulog in ajue amepita"
Majina ya selection za Udsm yanapatikana wapi? Coz nimetafuta sana tcu na web ya udsm but nothing
kozi gani man?
Walewale. Dah majina hayajatolewa officially ndugu. Itakua nyie ndo wale mliokuja JF baada ya kusikia kuna matokeo ya UDSM.
kazi ya Ze duduz hiyo!! wanatujazia jukwaa hadi wengine tunashindwa kuhutubia mambo ya maana.
Ni sahihi kabisa hilo huwa linafanyika kwa baadhi ya vyuo, Pia hutuma email ili kukujulisha na kutaka uthibitisho kutoka kwako kama utajiunga na chuo chao. Kumbuka ulipojaza fomu za TCU uliweka mawasiliano yako ya simu na email. Kuthibitisha hilo waweza kuwapigia kwa hiyo namba na kujalibu kuwaulizia mfano kuhusu barua ya kuitwa chuoni, au kuulizia ghalama za ada ukijifanya kwamba wataka kujilipia mwenyewe. Hivyo ondoa shaka ni kweli baadhi ya vyuo hupiga simu. (NB:Nipo kwenye chuo kimoja na huwa tuna huu utaratibu).Leo kuna watu wamenipigia simu kutoka katika vyuo nilivyochagua wanasema nimechaguliwa kujiunga na hicho chuo is it posible wakuu?
Tukianza chuo hawatakuwepo.
bachelor of arts with education man
wakati ukifika kila kitu kitakuwa wazi. yaani una maana mtu ambaye ni sehemu ya admin ya chuo ndo kakupigia? hivi huoni kama unajidanganya mwenyewe? hakuna chuo chenye utaratibu huo, kupigiwa simu.
mna usongo sana na masomo enhee? AU TAMAA YA BUMU?
Mkuu nasikitika kwa muda ulio upoteza kutuletea madudu hapa jamii forums. Kama wewe ni mfanyakazi wa TCU twambie tujue mapema maana sote tumesha jua CCM na ninyi lenu ni moja , nina maana kazi imewashinda. Tumewavumilia vyakutosha, uzalendo karibu unatushinda. Msituone mazuzu kiasi cha kutudharau kiasi hiki, kumbuka yaliyo tokea egypt, tunis etc.
Kama sio huna la kuandika ni vyema ukanyamaza kuliko kutuletea dhihaka kama hizi. unajua mmeweka hiyo status kama geresha ili kutufanya tutulie wakati tunajua kinacho endelea.
Kosa si la mtu mmoja hapo TCU na wala hampaswi kumlaumu, tunajua nani kasababisha hayo yote. Tunaendelea kufatilia na habari kamili zitafuata. hatuwezi kuacha taifa liangamie kwa ajili ya nyie wachache. nitaendelea.......
Duh! na wewe unatarajia kwenda chuo kikuu? Sasa naelewa walimu wanaposema mazingira ni magumu.TCU wametoa majina ya applcants waliokosa 1st raund,wafanye 2nd..sasa utata wa kwanza wapo waliopo katka hayo majina na uku tayar majna yao yali appear kwa waliokua select udsm.utata wa pili,m2 jina kule lipo bt buton ya 2nd applcation ni not active.utata wa 3.mtu jina halpo kwa wa' 2nd raund bt pale ipo actve...HEMU JIONEENI UBABAISHAJI huo.