Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

zethumb Mkuu nadhani tatizo liko kwenze '' You Are Admitted '' kama wewe unalielewa vizuri hatuna haja ya kubishana, 2 nadhani neno not yet
processed waliliweka kabla hata ya Eligibility status. Pia kuna jamaa yangu amepata UoA na mwingine Tumaini na still wote account zao ni Not Yet Processed. Nadhani pia unapaswa kuelewa kuwa profile za applicants hazitumiki tena.
 
Last edited by a moderator:
Dah jamani hata hili lazima ufungulie Thread? Duh kaazi kwelikweli
 
watu tuwe waelewa kwa elimu 2liyonayo,,!
Ukiona neno you are admited maana yake umechaguliwa kwenye chuo fulani ila 2 bado hawajatoa majina officialy,,,
2ache maneno mengi kwa 2we waelewa!
 
mimi ningeshauri watulie tu kwan tcu ni waelewa na watatenda jambo kwa ajili yao

@pokofame

wakati na wewe ni walewale au unadhani tumesahau utumbo wako wa juzi? Kama umesahau basi uliandika hivi : Tcu kiroho safi. Ndani ya thread uliandika vitu vya chekechea na kuweka midoli.
 
Yaani vyuo vya bongo vinapigia prospective candidates? Manake hii ipo UK, tena wanakupigia na kukuambia ada ni 40,000 £ only excluding meals and accommodation. Unaelewa why it is worth kukupigia simu hata mchana kutwa mtie stori. Nahisi unatapeliwa, next utapigiwa umekosa utoe hela kidogo!
King'asti, ukiwa kama Mod Naomba hili jukwaa liwe na subforum ya TCU+HESLB, jaribu kupitia hizo threads ujionee.
 
Last edited by a moderator:
hawa ndo wale wale tu MNATAKA WATU TUPATE BAN KWA LAZIMA!!!...tembelea tcu.go.tz utapata jipya sio humu JF
 
Acha mashudi kijana nini maana ya dakika tano sasa be specific au we ndo unaendaga kutega kwenye maofisi ya wa2 wenye wireless internet nini ukakuta wameshafunga
Acha habari za ajabu wewe thread ndefu hii ina page 3 kama macho yako yana function clearly usinge blame kwanza check page1 nimeweka majina then na link nimetupia mara tatu humu kwa kua inaonyesha hujui mambo link hii visit hapa Selection Results for academic year 2012/2013 then next time usikurupuke kuongea coz unawaona wavulana wanaongea
 
TCU wametoa majina ya applcants waliokosa 1st raund,wafanye 2nd..sasa utata wa kwanza wapo waliopo katka hayo majina na uku tayar majna yao yali appear kwa waliokua select udsm.utata wa pili,m2 jina kule lipo bt buton ya 2nd applcation ni not active.utata wa 3.mtu jina halpo kwa wa' 2nd raund bt pale ipo actve...HEMU JIONEENI UBABAISHAJI huo.

Mkuu unachosema ni kweli na mimi nina mashaka na hii selection ya ud iliyoliki.Inawaeza ikwawa na usahihi fulani lakini pia kuna mapungufu kadhaa.Nahisi haikuwa imekamilkika au ilikuwa na makosa.

Kwa mfano mimi nimegundua kitu kimoja kutokana na kozi nilizokuwa nimeomba.Kozi ya education with scince kwenye guide book ilionyesha nafasi 300.Waliochaguliwa kwenye hiyo selection ya ud ni 182 kwahiyo kuna nafasi 18 ziko wazi.Sasa nilitarajia hizo nafasi 18 zingeonekana kwenye hizi available slots zilizotoaka kwa ajili ya second round ila cha ajabu hiyo kozi haina available slots kwa maana nafasi zote zimejaa.Sasa kama nafasi zimejaa mbona ziko 182 badala ya 300 tu kwenye hiyo selection ya ud?

Kozi nyingine ni general scince.Hii kozi kwenye guide book kulikuwa na nafasi 40 ila kwenye hiyo ya ud zinaonekana nafasi 38 kwahiyo kuna nafasi 2 ambazo ziko wazi.Cha ajabu kwenye available slots kwa ajili ya second round hakuna nafasi inayonekana kuwa wazi.Sasa kama nafasi zimejaa kwa maana ya kuwa 40 mbona kule kwenye selection ya ud ziko 38 tu badala ya 40!

Tatizo nimeliona kwenye kozi kazaa za hiyo selction ya ud.Kozi moja niliogundua iko sahihi ni ya scince with educatio ya DUCE.Hii kozi kwenye guide book ilionyesha nafasi 200 na kwenye hiyo ya ud inaonekana ni nafasi 188 tu ndio zimejaa.Hii ni sahihi kabisa kwasababu kwenye available slots kuna nafasi 12 ambazo ziko wazi zinazohitajika kujazwa ili kukamilisha jumla ya nafasi 200.

kwahiyo naamini kuna upungufu kwenye hiyo selection ya ud.Chunguza hizi program UD036,UD034,UDM03 kama nilivyofanya utajionea mwenyewe.
 
King'asti, ukiwa kama Mod Naomba hili jukwaa liwe na subforum ya TCU+HESLB, jaribu kupitia hizo threads ujionee.

Hii ni beyond moderation responsibilities. Mkuu Invisible pekee ndie anaweza ku-assess pertinence hapa. Nadhani amekusoma na atalifikiria. Asante kwa suggestion.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom