Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Nadoubt comments zenu mnazotea hapa kuhusu tcu! Either kwa uelewa wangu mkubwa au mdogo, kuandikiwa you are admitted maana yake nini? Ninavyojua mimi ni kuwa umetimiza vigezo vya kufanyiwa udahili kuingia chuo, yaani vyeti vyote na malipo ya awali, kwa sasa ndo wanakaa kuona huyu anaenda tumaini huyo imani na mwengine jangwani, na sivyo wengine wanavyopongezana humu kwamba wamechaguliwa kwa sababu ya kuwa na status ''you are admitted'' kwa wale wa tumaini, mbona kwenye selection slot wameandika...........not yet processed?...............je tcu wana utaratibu wa kutoa selection ki ma group toka lini? Kwanza wengine ndo wana takiwa kuapply wengine kutokua na vyambatanisho. Lipi ni lipi?

ukiona admitted ina maanisha umeshapata Chuo,yani jina lako lipo kwenye chuo fulani ndo maana wameweza kujua nafasi za slots yilizobaki...cjaongea tu ilimradi,nimeongea na wadau wenyewe kutoka UDSM(councelors).
 
ukiona admitted ina maanisha umeshapata chuo,yani jina lako lipo kwenye chuo fulani ndo maana wameweza kujua nafasi za slots yilizobaki...cjaongea tu ilimradi,nimeongea na wadau wenyewe kutoka udsm(councelors).

hata kama umeongea na mkandala siyo uthibitisho kuwa ndo umekuwa admited, wote wenye account wameandikiwa hivyo except wachache wenye missingg documents, je kuna walioandikiwa hamjawa admitted unaowajua?
 
wewe ni seniour tena expert member andika vitu vyenye kichwa na si ....umelazwa ndo nini! tunataka vichwa vyenye kutafakari sio kucheua!
Kama umeomba kuwa "admitted" chuo kikuu sasa mtu akikwambia "you are admitted", unataka nini tena? Kwa level ya mtu anayetarajia kuingia chuo kikuu, sifikirii kama hili swali lilipaswa kuulizwa hapa. I thought you were joking...and so I joked back! Are you serious kuwa hujui maana "you are admitted" katika context ya udahili wa vyuo vikuu?
 
hebu tusaidie kama unasema waliandikiwa you are admitted wameshachaguliwa, je kuna yeyote ambaye ameandikiwa you are not admitted? maana sidhan kama waliofanya application wote watakuwa wamekuwa admitted kama unachosema ndoicho, kwa sababu capacity ya vyuo vyetu haiwezi kuadmit wote laki na ushee walio apply!

maana ya neno admitted is alowed to enter so nadhan itakua umechaguliwa ila baada ya hapo ndo poct wanapanga sasa
 
kama umeomba kuwa "admitted" chuo kikuu sasa mtu akikwambia "you are admitted", unataka nini tena? Kwa level ya mtu anayetarajia kuingia chuo kikuu, sifikirii kama hili swali lilipaswa kuulizwa hapa. I thought you were joking...and so i joked back! Are you serious kuwa hujui maana "you are admitted" katika context ya udahili wa vyuo vikuu?
tehe tehe, siyo hivyo. Any way let it be, mnataka kwenda vyuo mjiandae.
 
maana ya neno admitted is alowed to enter so nadhan itakua umechaguliwa ila baada ya hapo ndo poct wanapanga sasa

Sio kama unavyo fikiri kijana mchakato hauendi hivyo!! Hapo kwenye red nahisi umekosea tena sana. Okay it's this way
Katika kila kozi uliyo omba ndio uliingizwa katika mchakato wa uchaguzi wa wanafunzi so kinafanyiwa kazi kile ulicho omba tu hata kama kuna kozi watu wamepelea lakini hujaiomba haupelekwi ng'oo. so neno "YOUR ADMITTED" linamaanisha kua umechaguliwa katika moja zile kozi 8 ulizo omba.
"YOU CAN'T BE ADMITTED TO MORE THAN ONE PROGRAM"
 
Nadoubt comments zenu mnazotea hapa kuhusu tcu! Either kwa uelewa wangu mkubwa au mdogo, kuandikiwa you are admitted maana yake nini? Ninavyojua mimi ni kuwa umetimiza vigezo vya kufanyiwa udahili kuingia chuo, yaani vyeti vyote na malipo ya awali, kwa sasa ndo wanakaa kuona huyu anaenda tumaini huyo imani na mwengine jangwani, na sivyo wengine wanavyopongezana humu kwamba wamechaguliwa kwa sababu ya kuwa na status ''you are admitted'' kwa wale wa tumaini, mbona kwenye selection slot wameandika...........not yet processed?...............je tcu wana utaratibu wa kutoa selection ki ma group toka lini? Kwanza wengine ndo wana takiwa kuapply wengine kutokua na vyambatanisho. Lipi ni lipi?

Mkuu nasikitika kwa muda ulio upoteza kutuletea madudu hapa jamii forums. Kama wewe ni mfanyakazi wa TCU twambie tujue mapema maana sote tumesha jua CCM na ninyi lenu ni moja , nina maana kazi imewashinda. Tumewavumilia vyakutosha, uzalendo karibu unatushinda. Msituone mazuzu kiasi cha kutudharau kiasi hiki, kumbuka yaliyo tokea egypt, tunis etc.

Kama sio huna la kuandika ni vyema ukanyamaza kuliko kutuletea dhihaka kama hizi. unajua mmeweka hiyo status kama geresha ili kutufanya tutulie wakati tunajua kinacho endelea.

Kosa si la mtu mmoja hapo TCU na wala hampaswi kumlaumu, tunajua nani kasababisha hayo yote. Tunaendelea kufatilia na habari kamili zitafuata. hatuwezi kuacha taifa liangamie kwa ajili ya nyie wachache. nitaendelea.......
 
Sio kama unavyo fikiri kijana mchakato hauendi hivyo!! Hapo kwenye red nahisi umekosea tena sana. Okay it's this way
Katika kila kozi uliyo omba ndio uliingizwa katika mchakato wa uchaguzi wa wanafunzi so kinafanyiwa kazi kile ulicho omba tu hata kama kuna kozi watu wamepelea lakini hujaiomba haupelekwi ng'oo. so neno "YOUR ADMITTED" linamaanisha kua umechaguliwa katika moja zile kozi 8 ulizo omba.
"YOU CAN'T BE ADMITTED TO MORE THAN ONE PROGRAM"

nazan kakuelewa muuliza swal na mi pia mkuu
 
Jordan university iko hapa bongo?kama ni hapa Tanzania basi Tz ni kichwa cha mwendawazimu,kila wakiamka vyuo,ndo maana watoto wa siku wanamalza chuo then kichwani hamna kitu

Usiropoke, Jordan Univ College ni constituent college ya SAUT, zamani ikiitwa Salvatorian iko Morogoro. A simple googling would have saved you from revealing an uninformed being you're.
 
Nadoubt comments zenu mnazotea hapa kuhusu tcu! Either kwa uelewa wangu mkubwa au mdogo, kuandikiwa you are admitted maana yake nini? Ninavyojua mimi ni kuwa umetimiza vigezo vya kufanyiwa udahili kuingia chuo, yaani vyeti vyote na malipo ya awali, kwa sasa ndo wanakaa kuona huyu anaenda tumaini huyo imani na mwengine jangwani, na sivyo wengine wanavyopongezana humu kwamba wamechaguliwa kwa sababu ya kuwa na status ''you are admitted'' kwa wale wa tumaini, mbona kwenye selection slot wameandika...........not yet processed?...............je tcu wana utaratibu wa kutoa selection ki ma group toka lini? Kwanza wengine ndo wana takiwa kuapply wengine kutokua na vyambatanisho. Lipi ni lipi?
Jombaa umeeleweka ila na mdogo wangu jirani amepata tumaini univ iringa na ameomba through CAS, pia na washkaji zangu wawili pia wame pata hapo through CAS na kweli ukichek ktk status zao ni not yet processed ila walikua admitted sikia mkubwa tatizo sio chuo ni t.c.u ELEWA PIA PRIVATE INSTITUTIONS NI QUITE DIFFERENT NA PUBLIC KI UTENDAJI!! PRIVATE is after something na mimi ndo nilio post hayo matokeo from Tumaini University - Iringa University College au fuata link hii Selection Results for academic year 2012/2013 unadhani jamaa wajinga wa post marambili katika web yao!!
 
Sio kama unavyo fikiri kijana mchakato hauendi hivyo!! Hapo kwenye red nahisi umekosea tena sana. Okay it's this way Katika kila kozi uliyo omba ndio uliingizwa katika mchakato wa uchaguzi wa wanafunzi so kinafanyiwa kazi kile ulicho omba tu hata kama kuna kozi watu wamepelea lakini hujaiomba haupelekwi ng'oo. so neno "YOUR ADMITTED" linamaanisha kua umechaguliwa katika moja zile kozi 8 ulizo omba. "YOU CAN'T BE ADMITTED TO MORE THAN ONE PROGRAM"
MAELEZO YAMENYOOKA KABISA JOMBAA NA CHA KUONGEZEA ILI JAMAA AELEWE VIZURI NI KWAMBA ONCE STUDENT AMEKUWA REGISTERED HAPO NI CHUONI TENA NI BAADA YA KUA ADMITTED NDO MAANA WANAWATUMIA ADMISSION LETTER BAADA YA MATOKEO Duuuuh!!! kazi ipo
 
Daah hawa form six wanshangaza jinsi walivyo na uelewa mgumu wa mambo sasa elimu imetukomboa nini hapo....aghghghghg
 
pole ndugu! ishu si kuomba ishu ni kuwa umepata admission? kuna wadogo zetu vijijini wantusumbua na hizo misplaced information kuwa wamechaguliwa! tuna waelewa jamani, selection zinatolewa kwa pamoja na si kwa vifungu kama nyanya.

naona hii central admission system ni pasua kichwa kwa watu wengi kwelikweli mi ningewaomba muachane nayo tu cha msingi angalia jina lako kama nawe ni mmoja wa wanaotakiwa ku'apply for the second round, alafu mkuu kuchaguliwa watu kimafungu inawezekana kama ulifatilia admissions za mwaka jana uliona . Nachojua mimi awam ya kwanza ya kuwa'admit watu ishamalizika na ndo maana wametoa majina na empty slots kwenye baadh ya program ambazo hazijajaa kwa baadh ya vyuo. Cha msingi tunachowaomba TCU na HESLB ni kuwapa mikopo hata wale watakao omba admission kwenye second round yasijirudie ya mwaka yaliyofanya wanafunzi weng kushindwa kuripot vyuoni. Nina mengi ila naomba niishie hapa.
 
naomba tusiwe tunajifanya twajua kumbe hakuna lolote....mwenye kuelewa aendelee,wa kutania anyamaze na kujifunza kutoka kwa wanaoelewa...wa kuleta matani basi aingie google kuna lots of jokes there....kiroho safi tu
 
Back
Top Bottom