Usiropoke, Jordan Univ College ni constituent college ya SAUT, zamani ikiitwa Salvatorian iko Morogoro. A simple googling would have saved you from revealing an uninformed being you're.
Angalia jina lako kama umo ufanye second round application kwa course walizotoa.
Hii noma ndg inabidi 2subiri kwani ndo nchi yetu na TCU wameamua
hata zile nafasi zilizokuwa kwenye application zilitofautiana na zile za kwenye Guide book!!!!!!
cha kufanya n kuwahi re-applctn c kungj msaada
iv we unafkr kuwa na division 1 au2 ndo umemaliza mchezo,mimi nina2 na wa2 kibao nawajua wenye 2 tena za PCM,lakn sasa wanasafaWalio na div mbovu daima watakua na mashaka. Walio na div nzuri hawana muda wa kuhangaika. Ndugu zangu wanaJF kufanya Application mara ya pili sio kifo hivyo waambie hao ndugu zako wafanye tena application.
TCU wametoa majina ya applcants waliokosa 1st raund,wafanye 2nd..sasa utata wa kwanza wapo waliopo katka hayo majina na uku tayar majna yao yali appear kwa waliokua select udsm.utata wa pili,m2 jina kule lipo bt buton ya 2nd applcation ni not active.utata wa 3.mtu jina halpo kwa wa' 2nd raund bt pale ipo actve...HEMU JIONEENI UBABAISHAJI huo.