mimi ningeshauri watulie tu kwan tcu ni waelewa na watatenda jambo kwa ajili yao
@pokofame
King'asti, ukiwa kama Mod Naomba hili jukwaa liwe na subforum ya TCU+HESLB, jaribu kupitia hizo threads ujionee.Yaani vyuo vya bongo vinapigia prospective candidates? Manake hii ipo UK, tena wanakupigia na kukuambia ada ni 40,000 £ only excluding meals and accommodation. Unaelewa why it is worth kukupigia simu hata mchana kutwa mtie stori. Nahisi unatapeliwa, next utapigiwa umekosa utoe hela kidogo!
Acha habari za ajabu wewe thread ndefu hii ina page 3 kama macho yako yana function clearly usinge blame kwanza check page1 nimeweka majina then na link nimetupia mara tatu humu kwa kua inaonyesha hujui mambo link hii visit hapa Selection Results for academic year 2012/2013 then next time usikurupuke kuongea coz unawaona wavulana wanaongeaAcha mashudi kijana nini maana ya dakika tano sasa be specific au we ndo unaendaga kutega kwenye maofisi ya wa2 wenye wireless internet nini ukakuta wameshafunga
Dah jamani hata hili lazima ufungulie Thread? Duh kaazi kwelikweli
TCU wametoa majina ya applcants waliokosa 1st raund,wafanye 2nd..sasa utata wa kwanza wapo waliopo katka hayo majina na uku tayar majna yao yali appear kwa waliokua select udsm.utata wa pili,m2 jina kule lipo bt buton ya 2nd applcation ni not active.utata wa 3.mtu jina halpo kwa wa' 2nd raund bt pale ipo actve...HEMU JIONEENI UBABAISHAJI huo.
hawajielewiSelection zikitoka wote watakimbia, sijui wanajua humu kuna mawakala wa TCU na HESLB