Wana jf kama kuna ambaye ana tetesi za waliochaguliwa na tcu 2012/2013 kwa vyuo vifuatavyo anisaidie; Tumaini makumira.saut,st.john's,jordan,stefano moshi memorial
hawajielewi
Dah jamani hata hili lazima ufungulie Thread? Duh kaazi kwelikweli
kwan we lazma usome, gt...........
Nadhani unanitafutia Ban sasa utaipata kabla yangu ngoja nijipange.
kijana acha kuwa mburula wewe ndo mzee wa kusubiria internet wireless kwenye ofisi za wa2 halafu kuwa kama msomi dogo
out of ur bissness boi