Ukitaka kujua kuhusu sisi

Ukitaka kujua kuhusu sisi

Baba Dayana

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
144
Reaction score
330
Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao..

Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya maslahi ya jasho letu..

Kuna sehemu sisi ni wavivu na wazembe kwasababu tu, riziki yetu haifanani na yao ama muda wetu wa kubarikiwa haujafika bado..

Kuna mahali sisi ni washamba, kwasababu tulidhulumiwa na tuliochagua kuwaamini..

Kuna sehemu sisi tuna roho mbaya, kwasababu tuliombwa pesa nyakati ambazo hata sisi hatukuwa nayo..

Ukitaka kujua kuhusu sisi, njoo utuulize wenyewe.
 
Dah Umeandika kwa Hisia sana na Uchungu
 
Back
Top Bottom