Ukitaka kujua miaka inaenda kasi, ni miaka 7 tangu COVID-19 ikurupuke !!!

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
Siku hazigandi. Kama unashindwa kutoka kwenye ukata ufuta ni wakati wa kubadili gia angani. Utadhani ni jana tu kumbe miaka 7 tayari ishakatika!!

Ungepanda migomba kwenye pori la ekari 4 kijijini kwenu sasa hivi ungekuwa ushajikomboa kiuchumi ila sasa uko town unabishania Man United mwaka wa 7 sasa na kulaumu kila kilicho mbele yako!!
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutupatia mtu sahihi kuiongoza Tanzania kipindi hiko na baada ya kuifanya hy kazi vyema akaamua kumpumzisha, Sir God fundi Sana kutuletea JPM.

Manyonyo na wenzake na baadhi ya viongozi wa chadema wangekuwa n namba moja kipindi kile aisee tungenyooka
 
Sipati picha tungefungiwa ndani bila ata kutoa pua nje
 
Ungepanda migomba kwenye pori la ekari 4 kijijini kwenu sasa hivi ungekuwa ushajikomboa kiuchumi ila sasa uko town unabishania Man United mwaka wa 7 sasa na kulaumu kila kilicho mbele yako!!
Bora yangu mimi ile lockdown ya covid nikajipatia katoto ka kiume namshukuru Mungu.
 
Sipati picha tungefungiwa ndani bila ata kutoa pua nje
Sir God fundi Sana mzee wangu, baada ya kumaliza kazi aliyomtuma akamchukua chap mambo yasiwe mengi.
JPM aliletwa kwa mission maalum, baada ya kumaliza kazi yake akachukuliwa.

Ila Wabongo kipindi kile tulikuwa hatujitambui kujua umuhimu wa JPM, ngoja Samia aendelee kutuua tuu mana Ndo kitu tulichokuwa tunakitaka.
 
Back
Top Bottom