Sipati picha tungefungiwa ndani bila ata kutoa pua njeTunamshukuru Mungu kwa kutupatia mtu sahihi kuiongoza Tanzania kipindi hiko na baada ya kuifanya hy kazi vyema akaamua kumpumzisha, Sir God fundi Sana kutuletea JPM.
Manyonyo na wenzake na baadhi ya viongozi wa chadema wangekuwa n namba moja kipindi kile aisee tungenyooka
Bora yangu mimi ile lockdown ya covid nikajipatia katoto ka kiume namshukuru Mungu.Ungepanda migomba kwenye pori la ekari 4 kijijini kwenu sasa hivi ungekuwa ushajikomboa kiuchumi ila sasa uko town unabishania Man United mwaka wa 7 sasa na kulaumu kila kilicho mbele yako!!
Sir God fundi Sana mzee wangu, baada ya kumaliza kazi aliyomtuma akamchukua chap mambo yasiwe mengi.Sipati picha tungefungiwa ndani bila ata kutoa pua nje
Lockdown ya nchi ipi?Bora yangu mimi ile lockdown ya covid nikajipatia katoto ka kiume namshukuru Mungu.
Malawi mkuuLockdown ya nchi ipi?