Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Labda Kama Afya yake ni changamoto (kisukari,presha, n.k)
Hawa vijana wa 2000 wanajua nini? Watoto wa 20yrs hd watumie unga wa kongo! Hawajui kitu kinapokuwa wima kwa ugumu wake unaweza kuvunjika kama mfupa. Hamna kiumbe mume aliyeumbwa kuwa na jike moja tazama wanyama wote maana haiwezekani, na ndio maana Mungu (km yupo) aliumba wake wengi kuliko waume! Mume unaweza kutandaza mbegu deile x 3-6 lkn mke ukimfikisha mara 1 tu anajitafuta upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…