Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Mimi wangu aliwahi nipa mzigo baada ya mwezi 1 tu tena aliniambia anaogopa mimi kuchepuka...sasa nilikuwa namjali sana kiafya na nilikuwa naona kila kitu sasa kwa kile kinyaa niliogopa kupiga show maana nafikiria yale majimaji mara damu mara uchafu uchafu flan hivi aaagh nikamgomea.

Nikatafuta ka mchepuko ki sirisiri kwa miezi 4 mkupuo nilikuwa na simu ndogo nimesajiwa na muhuni mmoja hivi, kale ka simu nilikuwa nakaacha kazini...michepuko alikuwa na namba ile pekee sikuruhusu ajue zaidi kuhusu mimi kila maneno 10 9 yote ni UONGO.

WIfe alivyokaa sawa nikatafuta sababu nikaachana na yule PEPO 🤣🤣
 
Napendaga hicho kipindi maana nakuwa nakula bia zangu bila lawama..
Sometimes anaweza kukujaribu kwa kukuomba show, basi mjuba unapiga moja ya kibabe, akitoka hapo lazima aumwe wiki nzima anaacha kukusumbua na kuendelea kuvibe tu na mwanae... wewe unaendelea kufaidi uhuru wako
 
Hichi kipindi huwa ni kigumu sana kwetu wanaume, nakumbuka wakati mke wangu anajifungua mtoto wetu wa kwanza nilikaa mwaka na nusu bila kupata huduma zangu za ndoa, lakini namshukuru Mungu nilifanikiwa, ila mtoto wa pili na watatu ilinibidi nitafute mwanamke mwingine mwingine Kwa Siri ili nitulize hamu zangu
 
Mdada tahadhari ukija Ukiolewa na mwanaume kama huyu dhaifu alafu negative ujue kabisa kazi unayo.
Hamna mwanaume wa namna hiyo kiongozi acha kudanganya kujustify your darkside, after all hatujuani hapa, unakula nje kama kawa, period, wote tuna utopian life hapa JF lakini kwenye maisha halisi tofauti kubwa!
 
Back
Top Bottom