Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Bado huamini lakini sio kosa lako kutokuelewa ufafanuzi wanguAnyway JF ni yetu, lets pass time mengine unayo moyoni na unajua unavyoyahandle mwenyewe! I agree to disagree brother/sister
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado huamini lakini sio kosa lako kutokuelewa ufafanuzi wanguAnyway JF ni yetu, lets pass time mengine unayo moyoni na unajua unavyoyahandle mwenyewe! I agree to disagree brother/sister
Miezi 7 - 9 mwisho mwisho ni muda wa kuongeza masikio, kujazia miguu ya bia, na kumpa mama kijacho mazoezi mepesi ajiandae Na vita huko "leba ward".Wakuu,
Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9).
Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa Mara (wengine Hadi bedRest hospitali).
Katika kipind hiki, mwanaume unaweza ukapitisha miez 2 kavu kavu bila kupiga show.
2. Mkeo Akijifungua salama kabisa
Hapa Una zaidi ya Siku 40 mpk 60 huwezi kabisa kupiga show maana uchafu Bado chini unatoka , tumbo na nyonga havijatengamaa kuweza kumpelekea moto. Inakubidi uwe mpole.
3. Bahati mbaya Akijifungua Kwa kisu,
Hapa una almost miez 3-6 ya kukosa kabisa show kisa mshono wake Bado haujatengamaa.
4. Kipindi Cha kumnyonyesha,
Hapa Kitaalamu (Kwa mamalia wote duniani) anapokua ananyonyesha, Anapoteza kabisa hamu na hisia za kufanya mapenzi. Kipind hiki ata ufanye nae, Ni vile unakua umemfosi TU, automatically Hana kabisa Nyg na Wewe (hawezi kuperfom vizuri).
Sasa Binadamu (Mwanamke) Huwa anamnyonyesha Mtoto kuanzia umri 0 Hadi mwaka na nusu, wengine Hadi miaka miwili.
Jiulize sasa, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa mwaka na nusu, Hadi miaka miwili bila kupiga kabisa show?. Hapa Wakifika ata 10% Basi niite mbwa.
Hata wale wanawake wenye changamoto za kiafya, kiwango Chao Cha chini kabisa Cha kumnyonyeshe Mtoto Ni Hadi miezi 6.
Jiulize Tena, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa miez 6, kavu kavu hawajapiga show?. Aisee labda kwa walio jela.
Sasa Katika madhira yote tunayopitia, ndo kipindi hiki Wanaume wengi Huwa tunalaumu kua "mke wangu kahamishia mapenzi yote Kwa Mtoto".
Na ktk kipindi hiki,
Hata ulale na mkeo wako kitanda kimoja, lazima Mtoto wenu atawekwa katikati "maksudi" ili kukuwekea FENSI usipige show.
Kuna MDA uzalendo utakushinda,
Utavizia Mtoto wenu kalala usngz, utamvuta Mtoto kushoto ili ufosi upige ata kimoja Cha fasta.
Ile unaanza TU kumuandaa mkeo ili upige, Mtoto ataanza kulia, Basi Mtoto akishaanza kulia TU, mkeo akili yote inahama, na Wewe mwenyewe uwezi vumilia kuendelea kupiga show uku Mwanao anaangua kilio na YOWE mbele zenu.
Apo Kumtuliza Mtoto asiendelee kulia, Ni lazima apewe Nyonyo.
Sasa hapo itabd usubir mwanao anyonye Tena mpk apitiwe na usngz (almost saa nzima),
Au ufosi upige show uku Mwanao anaendelea kunyonya.
(Hapa inahitaji ujasili WA mzabzab kupiga show uku Mtoto anaendelea kunyonya)
Kitu ambacho wanaume wengi sn hatukiwezi, pia wanawake nao hawakipendi kabisa.
Sasa katika Hali Kama hii,
Mwanaume yeyote mwenye Afya njema, Utakua na mojawapo ya solution mbili hizi kwny madhira haya ya kwenye ndoa.
1. Uamue kupiga punyeto Kutuliza Nyg
Au
2. Utafute mchepuko pembeni awe anakupunguzia Nyg.
Nawasilisha🙏
😂Kujiendekeza tu mbona Wapo wavumilivu mpaka mke anafikisha m3 hagongi popote
Honestly, ninauwezo wa kumjua mtu kuwa anadanya au anasema ukweli kupitia maelezo yake kwenye comment kwahiyo kwako nimekupa 50%Haupo sahihi
Izo asilimia hamsini umetoa wapi
You are not right 😊Honestly, ninauwezo wa kumjua mtu kuwa anadanya au anasema ukweli kupitia maelezo yake kwenye comment kwahiyo kwako nimekupa 50%
Kwa jibu lako hili nakupa 70% nimekuongezea 20% kwenye zile hamsini wewe sio wakikeYou are not right 😊
Haujamkosea mtu but your comments are very controversial.Utata kivipi Tena kuna mtu namkosea kweli?
Mnanifurahisha humu jfKwa jibu lako hili nakupa 70% nimekuongezea 20% kwenye zile hamsini wewe sio wakike
It's because I'm saying truth always?!!!!Haujamkosea mtu but your comments are very controversial.
Naomba genius nifunge utafiti huyu kwasasa nampa 100% kuwa sio wa kike niombe samahani lakini kam sipo sahihiIt's because I'm saying truth always?!!!!
Unani[QUOTE="Naomba genius nifunge utafiti huyu kwasasa nampa 100% kuwa sio wa kike niombe samahani lakini kam sipo sahihi
kama sio wa kike na zile comment zake za kutafuta mwanaume mwenye hela ni kama vile anatafuta mtu wa kumpiga kizinga.
kwa hii comment yako nakupa 150% nimekuongezea 50% kwenye zile miaUnani[QUOTE="
Then I think you should change that name of yours because you can't recognize me
But um just a baddiekwa hii comment yako nakupa 150% nimekuongezea 50% kwenye zile mia
kwa hii comment yako nakupa 200% wewe sio wakikeBut um just a baddie
Mbona mnaniona mwanaume au Nina comment points tupu maana wewe sio wa kwanza
Okaykwa hii comment yako nakupa 200% wewe sio wakike
Dah maisha haya magumu sana.Wakuu,