Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Wew huwez kuvumilia???Mkuu umebanwa nini au mtoto kakatisha show kwa kulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew huwez kuvumilia???Mkuu umebanwa nini au mtoto kakatisha show kwa kulia
Acha kujiendekeza yuda baki njia kuuLabda Kama Afya yake ni changamoto (kisukari,presha, n.k)
Nikioa ndio nitakujibuWew huwez kuvumilia???
It's simply hype, nothing of substance 😂 #Kendrick Lamar - Tv OffHii nin mkuu🤣🤣🤣
Kuweni na uvumilivu asee
Mpaka hapo jibu nimeshalipataNikioa ndio nitakujibu
Mwanaume unakuwaje na mwanamke mmoja,hivi bado mnasikiliza hizo ngonjera za dini na imani potofu.Wakuu,
Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9).
Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa Mara (wengine Hadi bedRest hospitali).
Katika kipind hiki, mwanaume unaweza ukapitisha miez 2 kavu kavu bila kupiga show.
2. Mkeo Akijifungua salama kabisa
Hapa Una zaidi ya Siku 40 mpk 60 huwezi kabisa kupiga show maana uchafu Bado chini unatoka , tumbo na nyonga havijatengamaa kuweza kumpelekea moto. Inakubidi uwe mpole.
3. Bahati mbaya Akijifungua Kwa kisu,
Hapa una almost miez 3-6 ya kukosa kabisa show kisa mshono wake Bado haujatengamaa.
4. Kipindi Cha kumnyonyesha,
Hapa Kitaalamu (Kwa mamalia wote duniani) anapokua ananyonyesha, Anapoteza kabisa hamu na hisia za kufanya mapenzi. Kipind hiki ata ufanye nae, Ni vile unakua umemfosi TU, automatically Hana kabisa Nyg na Wewe (hawezi kuperfom vizuri).
Sasa Binadamu (Mwanamke) Huwa anamnyonyesha Mtoto kuanzia umri 0 Hadi mwaka na nusu, wengine Hadi miaka miwili.
Jiulize sasa, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa mwaka na nusu, Hadi miaka miwili bila kupiga kabisa show?. Hapa Wakifika ata 10% Basi niite mbwa.
Hata wale wanawake wenye changamoto za kiafya, kiwango Chao Cha chini kabisa Cha kumnyonyeshe Mtoto Ni Hadi miezi 6.
Jiulize Tena, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa miez 6, kavu kavu hawajapiga show?. Aisee labda kwa walio jela.
Sasa Katika madhira yote tunayopitia, ndo kipindi hiki Wanaume wengi Huwa tunalaumu kua "mke wangu kahamishia mapenzi yote Kwa Mtoto".
Na ktk kipindi hiki,
Hata ulale na mkeo wako kitanda kimoja, lazima Mtoto wenu atawekwa katikati "maksudi" ili kukuwekea FENSI usipige show.
Kuna MDA uzalendo utakushinda,
Utavizia Mtoto wenu kalala usngz, utamvuta Mtoto kushoto ili ufosi upige ata kimoja Cha fasta.
Ile unaanza TU kumuandaa mkeo ili upige, Mtoto ataanza kulia, Basi Mtoto akishaanza kulia TU, mkeo akili yote inahama, na Wewe mwenyewe uwezi vumilia kuendelea kupiga show uku Mwanao anaangua kilio na YOWE mbele zenu.
Apo Kumtuliza Mtoto asiendelee kulia, Ni lazima apewe Nyonyo.
Sasa hapo itabd usubir mwanao anyonye Tena mpk apitiwe na usngz (almost saa nzima),
Au ufosi upige show uku Mwanao anaendelea kunyonya.
(Hapa inahitaji ujasili WA mzabzab kupiga show uku Mtoto anaendelea kunyonya)
Kitu ambacho wanaume wengi sn hatukiwezi, pia wanawake nao hawakipendi kabisa.
Sasa katika Hali Kama hii,
Mwanaume yeyote mwenye Afya njema, Utakua na mojawapo ya solution mbili hizi kwny madhira haya ya kwenye ndoa.
1. Uamue kupiga punyeto Kutuliza Nyg
Au
2. Utafute mchepuko pembeni awe anakupunguzia Nyg.
Nawasilisha🙏
Kaka yaani ww ht kumaliza wiki huwezi?Hapa Bado ujahesabu zile siku 4 mpk 7 anazokua period kila mwezi.
Kiukweli siku hizi Huwa Ni mateso Sana kwetu wanaume
Hakuna mwanaume atachomwa kwa kutekeleza wajibu wake wa kulomba😎Yani jitu unachanwa operesheni kulizalia, baada ya kulibebea mtoto wake kwa mateso halafu anachojua kulalamikia ni kutopewa mbususu, eti wanawake wa mjini wanachoka haraka sana. Daaah, moto mtakaochomwa nao mtajuta.
🤣🤣🤣Ukute mke kazaa SS anatafuta kuhalalishaUlipotea au mimi ndo sikuwa naona thread zako?? Mchepuko wako hajambo?
🔥 Nashangaa eti ,Cha mhimu mtu a......Mikono, midomo inafanya kazi vizuri tu kwani lazima uchomekee, mi huwa napumzika mwezi mzima bila kuguswa,
Kuna wanyama ambao ni monogamous, mfano wolves, swans...Hawa vijana wa 2000 wanajua nini? Watoto wa 20yrs hd watumie unga wa kongo! Hawajui kitu kinapokuwa wima kwa ugumu wake unaweza kuvunjika kama mfupa. Hamna kiumbe mume aliyeumbwa kuwa na jike moja tazama wanyama wote maana haiwezekani, na ndio maana Mungu (km yupo) aliumba wake wengi kuliko waume! Mume unaweza kutandaza mbegu deile x 3-6 lkn mke ukimfikisha mara 1 tu anajitafuta upya!
Siku 40 tu piaBahati mbaya Akijifungua Kwa kisu,
Hapa una almost miez 3-6 ya kukosa kabisa show kisa mshono wake Bado haujatengamaa.