Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Wakuu,
Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9).

Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa Mara (wengine Hadi bedRest hospitali).

Katika kipind hiki, mwanaume unaweza ukapitisha miez 2 kavu kavu bila kupiga show.

2. Mkeo Akijifungua salama kabisa
Hapa Una zaidi ya Siku 40 mpk 60 huwezi kabisa kupiga show maana uchafu Bado chini unatoka , tumbo na nyonga havijatengamaa kuweza kumpelekea moto. Inakubidi uwe mpole.

3. Bahati mbaya Akijifungua Kwa kisu,
Hapa una almost miez 3-6 ya kukosa kabisa show kisa mshono wake Bado haujatengamaa.

4. Kipindi Cha kumnyonyesha,
Hapa Kitaalamu (Kwa mamalia wote duniani) anapokua ananyonyesha, Anapoteza kabisa hamu na hisia za kufanya mapenzi. Kipind hiki ata ufanye nae, Ni vile unakua umemfosi TU, automatically Hana kabisa Nyg na Wewe (hawezi kuperfom vizuri).

Sasa Binadamu (Mwanamke) Huwa anamnyonyesha Mtoto kuanzia umri 0 Hadi mwaka na nusu, wengine Hadi miaka miwili.

Jiulize sasa, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa mwaka na nusu, Hadi miaka miwili bila kupiga kabisa show?. Hapa Wakifika ata 10% Basi niite mbwa.

Hata wale wanawake wenye changamoto za kiafya, kiwango Chao Cha chini kabisa Cha kumnyonyeshe Mtoto Ni Hadi miezi 6.
Jiulize Tena, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa miez 6, kavu kavu hawajapiga show?. Aisee labda kwa walio jela.

Sasa Katika madhira yote tunayopitia, ndo kipindi hiki Wanaume wengi Huwa tunalaumu kua "mke wangu kahamishia mapenzi yote Kwa Mtoto".

Na ktk kipindi hiki,
Hata ulale na mkeo wako kitanda kimoja, lazima Mtoto wenu atawekwa katikati "maksudi" ili kukuwekea FENSI usipige show.

Kuna MDA uzalendo utakushinda,
Utavizia Mtoto wenu kalala usngz, utamvuta Mtoto kushoto ili ufosi upige ata kimoja Cha fasta.

Ile unaanza TU kumuandaa mkeo ili upige, Mtoto ataanza kulia, Basi Mtoto akishaanza kulia TU, mkeo akili yote inahama, na Wewe mwenyewe uwezi vumilia kuendelea kupiga show uku Mwanao anaangua kilio na YOWE mbele zenu.

Apo Kumtuliza Mtoto asiendelee kulia, Ni lazima apewe Nyonyo.

Sasa hapo itabd usubir mwanao anyonye Tena mpk apitiwe na usngz (almost saa nzima),

Au ufosi upige show uku Mwanao anaendelea kunyonya.
(Hapa inahitaji ujasili WA mzabzab kupiga show uku Mtoto anaendelea kunyonya)

Kitu ambacho wanaume wengi sn hatukiwezi, pia wanawake nao hawakipendi kabisa.

Sasa katika Hali Kama hii,
Mwanaume yeyote mwenye Afya njema, Utakua na mojawapo ya solution mbili hizi kwny madhira haya ya kwenye ndoa.

1. Uamue kupiga punyeto Kutuliza Nyg
Au
2. Utafute mchepuko pembeni awe anakupunguzia Nyg.

Nawasilisha🙏
Ni mateso na majaribu ya imani, wakitoka kujifungua ngozi inakuwa nyororo halafu na joto tamu unabaki kula kwa macho.
Hapa ndio unakuja umuhimu wa kuwa na mchepuko wenye akili.
Madhara ya kutembea umejaa upwiru ni makubwa zaid ya kuwa na mchepuko maalum.
 
Kwani mama hawezi kukungonyesha wewe na mttoto at the same time?
 
Sio poa kuna wanaume ambao sio wachepukaji wanajifunzia nyeto kwenye ndoa hii habari ya mke mmmoja Mungu atusaidie tu
 
Hivi na waliojifungua Kwa operation wanatakiwa wake mda gani
 
Kweli ndoa kwa kizazi hiki ni mateso kwa mwanaume.
 
W
Sio poa kuna wanaume ambao sio wachepukaji wanajifunzia nyeto kwenye ndoa hii habari ya mke mmmoja Mungu atusaidie tu
Na wasichojua, madhara ya nyeto Ni makubwa kuliko ya kuchepuka
 
Wakuu,
Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9).

Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa Mara (wengine Hadi bedRest hospitali).

Katika kipind hiki, mwanaume unaweza ukapitisha miez 2 kavu kavu bila kupiga show.

2. Mkeo Akijifungua salama kabisa
Hapa Una zaidi ya Siku 40 mpk 60 huwezi kabisa kupiga show maana uchafu Bado chini unatoka , tumbo na nyonga havijatengamaa kuweza kumpelekea moto. Inakubidi uwe mpole.

3. Bahati mbaya Akijifungua Kwa kisu,
Hapa una almost miez 3-6 ya kukosa kabisa show kisa mshono wake Bado haujatengamaa.

4. Kipindi Cha kumnyonyesha,
Hapa Kitaalamu (Kwa mamalia wote duniani) anapokua ananyonyesha, Anapoteza kabisa hamu na hisia za kufanya mapenzi. Kipind hiki ata ufanye nae, Ni vile unakua umemfosi TU, automatically Hana kabisa Nyg na Wewe (hawezi kuperfom vizuri).

Sasa Binadamu (Mwanamke) Huwa anamnyonyesha Mtoto kuanzia umri 0 Hadi mwaka na nusu, wengine Hadi miaka miwili.

Jiulize sasa, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa mwaka na nusu, Hadi miaka miwili bila kupiga kabisa show?. Hapa Wakifika ata 10% Basi niite mbwa.

Hata wale wanawake wenye changamoto za kiafya, kiwango Chao Cha chini kabisa Cha kumnyonyeshe Mtoto Ni Hadi miezi 6.
Jiulize Tena, Ni wanaume wangapi wanaweza kukaa miez 6, kavu kavu hawajapiga show?. Aisee labda kwa walio jela.

Sasa Katika madhira yote tunayopitia, ndo kipindi hiki Wanaume wengi Huwa tunalaumu kua "mke wangu kahamishia mapenzi yote Kwa Mtoto".

Na ktk kipindi hiki,
Hata ulale na mkeo wako kitanda kimoja, lazima Mtoto wenu atawekwa katikati "maksudi" ili kukuwekea FENSI usipige show.

Kuna MDA uzalendo utakushinda,
Utavizia Mtoto wenu kalala usngz, utamvuta Mtoto kushoto ili ufosi upige ata kimoja Cha fasta.

Ile unaanza TU kumuandaa mkeo ili upige, Mtoto ataanza kulia, Basi Mtoto akishaanza kulia TU, mkeo akili yote inahama, na Wewe mwenyewe uwezi vumilia kuendelea kupiga show uku Mwanao anaangua kilio na YOWE mbele zenu.

Apo Kumtuliza Mtoto asiendelee kulia, Ni lazima apewe Nyonyo.

Sasa hapo itabd usubir mwanao anyonye Tena mpk apitiwe na usngz (almost saa nzima),

Au ufosi upige show uku Mwanao anaendelea kunyonya.
(Hapa inahitaji ujasili WA mzabzab kupiga show uku Mtoto anaendelea kunyonya)

Kitu ambacho wanaume wengi sn hatukiwezi, pia wanawake nao hawakipendi kabisa.

Sasa katika Hali Kama hii,
Mwanaume yeyote mwenye Afya njema, Utakua na mojawapo ya solution mbili hizi kwny madhira haya ya kwenye ndoa.

1. Uamue kupiga punyeto Kutuliza Nyg
Au
2. Utafute mchepuko pembeni awe anakupunguzia Nyg.

Nawasilisha🙏
Kibaiolojia mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume. Linapokuja suala la sex mwanaume yupo tayari muda wowote siku yoyote lakini mwanamke ana visababu na changamoto nyingi.
 
Back
Top Bottom