Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Ila ni nature yenu🙂
Tangu kwa kina babu Ayubu haijawahi kubadilika, huyo unayemuona mwaminifu kwako saaaana, mchunguze utajua uaminifu wa mwanamke mmoja ni scam, tunaweza kuaminiana kwa mengine sio mbususu! Na mwanaume anaficha sana kwa kuwa anamheshimu sana mke na hataki ndoa au mahusiano yavunjike hamna kingine! Otherwise anapiga sana tu maana moja haitoshi naturally
 
Kama a couple has fear of God hayo m engine yatakuwa sio changamoto
 
Hicho kipindi hiki........................
Ila option ya nyeto haifai maana misuli ikilegea baadae atakwambia humridhishi halafu kipila atakipeleka nje
 
Nina watoto wa 4 na sijawahi ona changamoto ya mwanamke mwingine Sababu huyu kajifungua!

Niliona Sababu alipo ni cheat ya kugawanya moyo wangu Mara mbili ili kupunguza maumivu for future risks !

Sababu ya kujifungua kwa kweli ni Sababu ya Kibinafsi sana ambayo haiwezi nifanye nimkosee mke wangu!
 
Wewe binti nakufuatilia kwa ukaribu sana ili niweze kukufahamu vizuri wewe ni nani na unatoka wapi? Kwasababu umekuwa ukiandika komenti zenye utata
Utata kivipi Tena kuna mtu namkosea kweli?
 
Hakuna mwanaume anaeridhika na mwanamke mmoja

Na wanawake nao wameamka, nao wanaona mwanaume mmoja hatoshi hadi apate sponsor na king'asti

Fikiria Katika jamii hii inayoendekeza tamaa za ngono na maslahi kuliko welfare ya familia na watoto. Kizazi kinachofuata kitakuwaje

Hata hivyo wacha wafu mzikane
 
Hamna mwanaume wa namna hiyo kiongozi acha kudanganya kujustify your darkside, after all hatujuani hapa, unakula nje kama kawa, period, wote tuna utopian life hapa JF lakini kwenye maisha halisi tofauti kubwa!
Mimi hapa ndio mwanaume wa hivyo na nimefurahi kufahamu kwamba unajua katika maisha kuna darkside.

kama unajua kuna kitu kinaitwa darkside inamaana pia unapaswa ufahamu kuwa hii darkside ni giza lakini fahamu kuna upande wa mwengine wa mwanga,

kwasababu kuna mwanga na giza basi kuna wanaume wazuri na wanaume wabaya kwahiyo hii dhana ya kwamba hakuna wanaume wema ni kitu kisichowezekana ni sawa na kusema hakuna mwanga baada ya gizs.

Ukiwa na uelewa mkubwa wa vitu ndipo utakuwa na mtizamo chanya wa vitu ndipo utagundua kuwa uovu na uzinzi ni vitu ambavyo havina maana yoyote kwamba kuwa mwanaume mzuri kwenye jamii ndio chaguo bora zaidi. kwahiyo mimi ni mwema na kuwa muovu au mwema ni chaguzi za mtu sio wote ni darkside.

Ninachukia uovu na ninaupiga vita kwenye jamii.
 
Anyway JF ni yetu, lets pass time mengine unayo moyoni na unajua unavyoyahandle mwenyewe! I agree to disagree brother/sister
 
Back
Top Bottom