Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Shida Ina kuwa wapi? Kukosa kupiga mashine!
Watu weusi na ni alituroga? Tendo LA, ndoa, tunalipa umuhimu sana, kuliko vitu vingine kama kutengeneza ajira kwa ajiri yq wengine, kukusanya ukwasi kwa njia mbadala za kifedha
 
Waislamu walijua hilo, wakristu wakabaki na unafiki wa mke mmoja kumbe nyumba ndogo kibao. Amini usiamini, hakika nawaambieni japo haijaandikwa "mwanaume hatosheki na mke mmoja " Amen.
 
Sasa wale walioko jela wanaishije? Au wao sio wanaume?
Watu kwa kutafuta sababu hamjambo
 
Sema iyo ya Mtoto kulia inakata sana...na Mara nyingi lazima walie
 
Me mwezi siwezi kumaliza bila kunyumbulika. Wee!! Naanzaje Sasa Kwa mfano!
 
sisi waislamu tunaamini hakuna mwanaume anaetosheka na mke mmoja, na si kwa sababu za uzinzi la ila moja ya reason kubwa ni hii, ktk kipindi hiki mwanaume usipozini bas lazima utumie mkono.
Na ndio tukapewa ruhusa kutoka kwa mola wetu mjuzi wa kila jambo .
TUOE WAKE WAWILI, WATATU MPAKA WANNE KWA WENYE UWEZO NA ANAEWEZA UADILIFU LAU KAMA HUWEZI BASI JITAHIDI NA MKE MMOJA.
na kama tujuavyo mwenyezi mungu alivyo fundi, hivi viumbe anavyovitengeneza unakuta huyu mfupi kidogo afu KAJAZANA ,yule mrefu kajaza kidogo na huyu saizi ya kati na kaumbo mwanana bas nyie alooo mhhhh MAASHAALLAH
 
Watapinga tu lakini ukweli ulioandikwa na mleta mada haupingiki. Its hard, tough, difficult, laborious, arduous...vyote unavyojua!
 
Ilinikutaa,miezi 3 tayari nilisabanisha mimba kwa watu wawili tofauti,nilichokifanya nikawakataa wotee afu wote nilipiga mara Moja mojaa tu....mmjaa alinitishia kumwambia wife Dah! Mwisho akashauliwa atulie.
 

Ulifeli kumuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…