Ukiona mwanaume msafi sana, anaoga kila siku; shtuka! Mwanaume anatakiwa anuke jasho na pia aoge kwa wiki mara moja tu, siku ya kwenda Msikitini au Kanisani. Hapo ndiyo uhakika. Yaani mwanaume anatakiwa muda wote anuke kama dume la mbuzi.Mkifika kwa wanaume, naomba mnistue, maana hata sielewi.
Bange ni dawa,lakini ikishaitwa msuba ina madhara braza!Ukiona mwanaume msafi sana, anaoga kila siku; shtuka! Mwanaume anatakiwa anuke jasho na pia aoge kwa wiki mara moja tu, siku ya kwenda Msikitini au Kanisani. Hapo ndiyo uhakika. Yaani mwanaume anatakiwa muda wote anuke kama dume la mbuzi.
Angalia bunge lake.Tukitaka tujue taifa lina viongozi wenye akili tuangalie nini ?
... na pia mwanaume wa kweli lazima awe na makovu usoni, mikononi, miguuni kuwe kuna baadhi ya vidole havipo, kucha zimeng'oka, na angalau meno manne yamevunjika.Mwanaume anatakiwa anuke jasho na pia aoge kwa wiki mara moja tu, siku ya kwenda Msikitini au Kanisani. Hapo ndiyo uhakika. Yaani mwanaume anatakiwa muda wote anuke kama dume la mbuzi.