Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Mdau mmoja katika mitandao ya kijamii ameshauri ukitaka kujua mke wako, au mwanamke wako anachepuka basi husiangaike na meseji za Whatsapp au meseji za kawaida. Maana uwa zinafutwa, mara baada ya kumaliza mazungumzo.
Hata hivyo hakuishia hapo, akatoa suluhu za njia mbadala ya kugundua mke wako anachepuka. Kupitia historia ya miamala au kumbukumbu za meseji za miamala za Mitandao ya simu kama M-PESA, Tigo-pesa, Airtel Money, Halo Pesa, au mingine unaweza kugundua kwamba mke wako anachepuka kwa sababu meseji hizo za miamala uwa hazifutwi au zinasahauliwa kufutwa. Hivyo basi ukipitia majina ya waliotuma pesa unaweza kukutana na wakulungwa wanaokusaidia kutunza ndoa.
Vile vile kwa wale wenye accounts za Bank, basi pitia bank statement ya mke wako au mwanamke wako. Unaweza kukutana na majina ya wakulungwa wanaokusaidia kulea familia.
Akaongezea mbinu nyingine ya kupitia kutizama Stickers, au emoji zinazotumiwa kila mara kwenye upande wa Whatsapp, Ukitizama recently emojis au stickers, ukiona emoji au stickers za kuashiria mapenzi ambazo kimsingi hazitumii unapochat nae basi jua kuna namna unapigiwa.
Hivyo husikomae na chats au meseji maana hizo ufutwa, we komaa na Bank statements, meseji za miamala ya simu, au recently used emojis au
View: https://www.instagram.com/reel/Cybb6koq7yu/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==