Tanzania Kuna mpira gani?Huyu mzee alishaombwa kutengua kauli yake kweli..!
We mwenzetu ni ngozi ya njano?Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha
Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao
Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi
Ngozi nyeusi ni laana kuu duniani
Tungekuwa tunachezeshwa na refa ngozi nyeupe, isingekuwa hivi kama tunavyonyanyaswa na huyu refa mweusi

Mna uhakika huyo Refa hana Kadi ya ccm?Labda kahongwa yule maana sisi Weusi kwa kupenda HONGO?!
We hupendi kulamba asaliLabda kahongwa yule maana sisi Weusi kwa kupenda HONGO?!