Ukitaka kujua ngozi nyeusi ni laana, mfuatilie refarii anayechezesha Taifa stars na Moroco

Seems you are not serious. Forgot DP world?; ilikuwaje baada ya kilio ya watanzania kila kona? Mkataba ulisainiwa haukusainiwa?; Leo unamshangaa a mere referee? Tena wa west Africa?!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpira unaanzia uwanjani baada ya hapo inafuata hamasa ....kitu pekee duniani ambacho hakina shortcut ni mpira🤣🤣 sababu upo live dunia nzima wanaona......haya sio masanduku ya kula haya🤣


Huwezi ruka uwekezaji mzuri ukarukia hamasa halafu ufike unakotaka kwenda
 
Wachezaji wa Timu yetu ya Taifa ni wazee,Tujipange kutafuta vipaji halisi,Tanzania tunaweza sana sema siasa mingi mpaka kwenye mambo ya kizalendo]
Binafsi sijaona siasa kwenye mpira hasa haya mashindano.
Ila naona watu wanatafuta chaka la kujifichia.

Siasa imeingizwaje na imeathiri vipi mechi ya leo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu refa anaonyesha wazi kabisa hawapendi wabongo na hawapendi toka moyoni. tulimkosea nini?
 
Hawa mashabiki wa mech moja moja..wanasumbua kweli...mwingine anadai kaumia sana
 
Utashangaa pia kwa nini viongozi wetu wanawapa waaarabu Hifadhi ya Ngorongoro wqjekujengea Hoteli na si ajabu kuna ubia kwa kuhamisha wamasai.
Na pia Bandari yetu na bado vingine vyaja mikataba ilikuwa 37!
 
Ila kocha wa Taifa stars alishasema wamoroco wana influence sana shirikisho la soka la Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…