Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.