Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii huwa ni hoja ya kijinga ambayo huwa inatolewa na maccm ili kufunika upumbavu wao.Michezo siyo mpira wa miguu tu, uwaziri ni utawala,siyo lazima waziri wa madini awe na shahada ya miamba,wa kilimo awe bwana shamba, acheni ujuaji wa kijuha
Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Muulize mwana FA tangu awe waziri wa michezo kafanya nini na zile kamati zake za akina Mwijaku na joti kwe da kula bata AFCON huko IVORY COSTNa Kuna yule mwingine wa kuitwa silaa. Mbona alikua anaenda poa na beat? Ilikuwaje akabadilishiwa wizara?
Huko aliko wala hasikiki tena, yaani ni bora liende.
Sasa jenista mhagama kapewa afya ila ukicheki cv yake utakuta ni mwalimuUkienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
......aliona kwenye historia yake alisoma habari, inaonekana atafaa hapoHivi kabudi ndo waziri wa michezo au kwa kuwa kawekwa kwenye utamaduni..si mtu wa sheria yule
Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Katiba na Sheria ....hii Haina mjadalaKwa hiyo Kapundi anafaa wapi sasa?
Twadabganywa, lakini wakati akiapishwa Kabudi, walisema waliona zaidi ya kusoma sheria, alionekana alisoma uhandishi wa Habari.Sasa jenista mhagama kapewa afya ila ukicheki cv yake utakuta ni mwalimu
Usikariri, ujue kwanza majukumu ya waziri. Ulitaka Lunyamila akawe waziri?Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Kwa hiyo yupo pale kwa sababu ya "namna tu ya kumrudisha katika mfumo"? Si kwa lengo la kuinua na kuendeleza sekta ya michezo?Nadhani ni namnantuu ya kumrudisha katika mfumo...kama kutatokea kuwa na reshaffle ya Administration basi tegemea kumuona ktk nafai zenye ushawisbi katika utawala huu
Hao waliobobea kwenye hayo masuala ndiyo walipaswa kuwa viongozi wakuu, Umeshawahi kuona Secretary of Defence USA asiwe na background ya Army?Muulize mwana FA tangu awe waziri wa michezo kafanya nini na zile kamati zake za akina Mwijaku na joti kwe da kula bata AFCON huko IVORY COST
Hii nchi wanasiasa wapo kwa maslahi yao shida sio lazima waziri awe mcheza soka maana hapo wizarani kuna makatibu na watendaji wakiobobea kwenye hayo masuala
Tumshangae mleta uzi anauliza swali la kitoto
Imagine huyu ndiye mtu aliyewekwa kusimamia majeshi ya nchi na kuhakiki ulinzi wa mipaka na raia zaidi ya milioni 60 😀
Umeshawahi kuona Secretary of Defence wa Marekani akawa hana background katika Army?Usikariri, ujue kwanza majukumu ya waziri. Ulitaka Lunyamila akawe waziri?