Ukitaka kujua serikali haijawahi kuwa serious na maendeleo ya kweli, Kabudi na michezo wapi na wapi?

Ukitaka kujua serikali haijawahi kuwa serious na maendeleo ya kweli, Kabudi na michezo wapi na wapi?

Kuna shida gani waziri akishindwa kutumia darubini!?..mwisho mtataka waziri wa ulinzi walau ajue kuwasha kifaru
Kiherehere gani kilicho msibu kiasi kwamba akawiwa kuishika hiyo DARUBINI na kuigeuza VICE VERSA.

nijibu.
 
Back
Top Bottom