Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
bongo tutailaumu mpka yesu anarudiUkienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Huwa mnadhani serikali ina hela za kuchota tu, acheni ucenge,bajeti yenyewe tunategemea wahisani na mikopoUkitaka kujua Tanzania Viongozi hawana akili na wala hawajui maana ya maendeleo angalia walivyokurupuka kusema wanatengeneza Arena ya Events za Kimataifa na kubwa za Burudani baada ya kupata aibu ya tuzo za Trace kule Zanzibar wiki iliyopita wakati hili suala limeongelewa siku nyingi sana ila hawakuwa wanachukua hatua zozote.
Viongozi wetu hawajui hata maana ya vipengele vya msingi kwa maendeleo ya kweli ya Taifa letu kutokana na hatua za kimaendeleo ambazo dunia inapiga.
Michezo siyo mpira wa miguu tu, uwaziri ni utawala,siyo lazima waziri wa madini awe na shahada ya miamba,wa kilimo awe bwana shamba, acheni ujuaji wa kijuhaKabudi hajui hata faulo ya kona inapatikanaje kwenye mpira wa miguu
Nchi hii ina laana kubwa sana! Machawa Kila Kona!Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Michezo siyo mpira wa miguu tu, uwaziri ni utawala,siyo lazima waziri wa madini awe na shahada ya miamba,wa kilimo awe bwana shamba, acheni ujuaji wa kijuha
Kwa hiyo Kapundi anafaa wapi sasa?Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
"Mheshimiwa Mungu" anachojali ni pesa na cheo. Hata apewe wizara ya wanawake na watoto kwake ni feya dili.Andiko lako duuuu pasua kichwa!!
Kabudi mwenyewe ndio tatizo lenyewe, alitakiwa amwambie mkuu wa nchi nashukuru kwa heshima na kuniona nafaa kuwa kwenye baraza, ila kwa heshima na taadhima,sitaweza naomba umteue mtu mwingine.
Sio kila teuzi na mteuliwa lazima akubali.
Tatizo ni kabudi mwenyewe aliyekubali na anayekubali KUCHEZESHWA SINGELI π π π
Full mizinguoUkitaka kujua Tanzania Viongozi hawana akili na wala hawajui maana ya maendeleo angalia walivyokurupuka kusema wanatengeneza Arena ya Events za Kimataifa na kubwa za Burudani baada ya kupata aibu ya tuzo za Trace kule Zanzibar wiki iliyopita wakati hili suala limeongelewa siku nyingi sana ila hawakuwa wanachukua hatua zozote.
Viongozi wetu hawajui hata maana ya vipengele vya msingi kwa maendeleo ya kweli ya Taifa letu kutokana na hatua za kimaendeleo ambazo dunia inapiga.