gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Mar 7, 2025 #81 sam-Akida said: Trump "kafuta" sheria ziliwepitishwa. na mtangulizi mfanye? Click to expand... Unazungumzia nini?
sam-Akida said: Trump "kafuta" sheria ziliwepitishwa. na mtangulizi mfanye? Click to expand... Unazungumzia nini?
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Mar 7, 2025 #82 muafi said: View attachment 3258053 Click to expand... Hii 🤠 ni Photoshop au ni kweli waziri kashindwa kutumia DARUBINI vitu vingine ni kuuliza ili kuepuka aibu ndogo ndogo.
muafi said: View attachment 3258053 Click to expand... Hii 🤠 ni Photoshop au ni kweli waziri kashindwa kutumia DARUBINI vitu vingine ni kuuliza ili kuepuka aibu ndogo ndogo.
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Mar 7, 2025 #83 Dr am 4 real PhD said: Hii 🤠 ni Photoshop au ni kweli waziri kashindwa kutumia DARUBINI vitu vingine ni kuuliza ili kuepuka aibu ndogo ndogo. Click to expand... Kuna shida gani waziri akishindwa kutumia darubini!?..mwisho mtataka waziri wa ulinzi walau ajue kuwasha kifaru
Dr am 4 real PhD said: Hii 🤠 ni Photoshop au ni kweli waziri kashindwa kutumia DARUBINI vitu vingine ni kuuliza ili kuepuka aibu ndogo ndogo. Click to expand... Kuna shida gani waziri akishindwa kutumia darubini!?..mwisho mtataka waziri wa ulinzi walau ajue kuwasha kifaru
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Mar 7, 2025 #84 gallow bird said: Kuna shida gani waziri akishindwa kutumia darubini!?..mwisho mtataka waziri wa ulinzi walau ajue kuwasha kifaru Click to expand... Kiherehere gani kilicho msibu kiasi kwamba akawiwa kuishika hiyo DARUBINI na kuigeuza VICE VERSA. nijibu.
gallow bird said: Kuna shida gani waziri akishindwa kutumia darubini!?..mwisho mtataka waziri wa ulinzi walau ajue kuwasha kifaru Click to expand... Kiherehere gani kilicho msibu kiasi kwamba akawiwa kuishika hiyo DARUBINI na kuigeuza VICE VERSA. nijibu.
N NoreformNoelection JF-Expert Member Joined Jan 29, 2025 Posts 302 Reaction score 333 Mar 7, 2025 #85 gallow bird said: Unanadi ujinga na jinsi walimu wako walivyopata shida kukuelewesha Click to expand... Nimekosa mimi, nimekosa sana, nakuomba unisamehe
gallow bird said: Unanadi ujinga na jinsi walimu wako walivyopata shida kukuelewesha Click to expand... Nimekosa mimi, nimekosa sana, nakuomba unisamehe
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Mar 7, 2025 #86 Dr am 4 real PhD said: Kiherehere gani kilicho msibu kiasi kwamba akawiwa kuishika hiyo DARUBINI na kuigeuza VICE VERSA. nijibu. Click to expand... Alipewa na wajeda, waziri wao
Dr am 4 real PhD said: Kiherehere gani kilicho msibu kiasi kwamba akawiwa kuishika hiyo DARUBINI na kuigeuza VICE VERSA. nijibu. Click to expand... Alipewa na wajeda, waziri wao