Mwambie :-
1. Umepata kansa au kisukari au ukimwi.....ukiona anaanza kukukwepa vunja uchumba haraka sana.
2. Mwambie umepoteza kazi au biashara yako imekufa. Hata Kama anaijua biashara yako ilipo mpige saundi kwamba imechukuliwa na inaendeshwa na waliochukua. Ukiona anapoozesha mapenzi vunja uchumba
3. Mkorofishe au fanya igizo la kosa la wazi kabisa. Ukiona anafura mithili ya kifutu na Hana moyo wa kusamehe. Achana naye tafuta mwingine
Yametosha. Haunilipi