Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi walioko vyuoni,Wasani,Maofisini Uraiani,na watu waliokuwa wengi kiasi kwamba inchi yetu inashindwa kupiga hatua huku tukiwa na rasilimali chungu nzima,
Ukimsikiliza Heche na Tundu lissu kiukweli utagundua kwama yaani tuliyowakabizi madaraka kichwani ni weupe sana kiasi kwamba ndiyo maana tunashindwa kwenda mbele kama
Ukimsikiliza Heche na Tundu lissu kiukweli utagundua kwama yaani tuliyowakabizi madaraka kichwani ni weupe sana kiasi kwamba ndiyo maana tunashindwa kwenda mbele kama