Eee teena waoga hatariUkisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi walioko vyuoni,Wasani,Maofisini Uraiani,na watu waliokuwa wengi kiasi kwamba inchi yetu inashindwa kupiga hatua huku tukiwa na rasilimali chungu nzima,
Ukimsikiliza Heche na Tundu lissu kiukweli utagundua kwama yaani tuliyowakabizi madaraka kichwani ni weupe sana kiasi kwamba ndiyo maana tunashindwa kwenda mbele kama
ALAFU WAKENYA WAKISEMA WATANZANIA HAWANA AKILI TUNAKATAA,TUMEJAA UBINAFSI MTUPU,HATUTHAMINI UHAI WA WENZETU NDIO,ndio maana wapumbavu wengi ambao wanasubiri hadi udhalimu uwafikie ndio watambue ujinga ndani ya nchi tuwape pole maana ubongo wao Imejaa maji tu na fikra hakuna.MUNGU AMENENA kwa nafsi ya Gwajima hata kama Gwajima ni mdhambi MUNGU hupenda kutumia viumbe vyake dhaifu kufikisha ujumbe kwa watu wake.Tusimbeze Gwajima hatujui yajayo yatupasa kuweka akiba ya maneno.Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi walioko vyuoni,Wasani,Maofisini Uraiani,na watu waliokuwa wengi kiasi kwamba inchi yetu inashindwa kupiga hatua huku tukiwa na rasilimali chungu nzima,
Ukimsikiliza Heche na Tundu lissu kiukweli utagundua kwama yaani tuliyowakabizi madaraka kichwani ni weupe sana kiasi kwamba ndiyo maana tunashindwa kwenda mbele kama