Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

Sas we mi nitakuwaje na kastama kea kabla ya kupiga lanchi?
Eboooh?
 
Kwa hiyo mishahara inapangwa kwa %? Unajua hiyo zaidi ya milioni 300 wanayolipwa kila miaka mitano ni asilimia ngapi ya budget kwa mwaka huo? Na kazi ipi ya maana wanayoifanya kwa kukutana miezi mitatu kila mwaka hadi wastahili mishahara na marupurupu manono kiasi hicho!?
Na kwanini pamoja na mishahara mikubwa sana na marupurupu manono hawakatwi kodi?
Hao wabunge ni asilimia ngapi ya waTz? Na watakapopunguziwa wakipatacho sasa ndio kitafanya sasa waTz tutoke uchumi wa 'kati chini kwenda kati juu'?
 
Sas we mi nitakuwaje na kastama kea kabla ya kupiga lanchi?
Eboooh?
Hujakatazwa kula ..Issue n kwamba ..Muda wa kazi wengi wenu mnakua mnafanya kazi kivivu sana afu lunch au muda wa kuondoka ndo mnazingatia sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakika inshangaza
Kwa mawazo hayo kijana kama huyo hawezi kuwa na saving account wala wazo la kufungua biashara yake. Ataishia kuajiriwa na kutegemea mshahara peke yake. So sad..
 
kwa hiyo huyo anayelipwa kiduchu akienda na jero kununua dumu la mafuta ya taa pale sheli atapewa? au atapimiwa kibaba ambacho atatumia usiku mmoja....lipeni watu acheni longolongo.
 
Maelezo yako yangekamilika kama ivi ningekuelewa! hata hivyo, unampa mtu soft copy aende akasomee kwenye computer yake na wakati unafaham wengi hawana.

Anyways, its ok.
 
kwa hiyo huyo anayelipwa kiduchu akienda na jero kununua dumu la mafuta ya taa pale sheli atapewa? au atapimiwa kibaba ambacho atatumia usiku mmoja....lipeni watu acheni longolongo.
Soma tena nilichokiandika ili uelewe,mfano wako na nilichokiandika mimi ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kwa kawaida siyo rahisi usikute mtu kabisa hata wa kukueleza wahusika walipo (Reception), lkn pia wengi huwa ni kama wanapishana ili kuhakikisha shughuli zinaendelea lkn jambo ambalo unataliwa uelewe kuwa wao ni watu kama wewe wanahitaji ku refuel ili kesho na keshokutwa waendelee kupiga kazi usikose huduma kabsa kwa sababu ya wengine kupata magonjwa kama vidonda vya tumbo etc. Hivyo kama wewe ni mzoefu wa ofc kwa vyovyote utajipangilia kwamba muda fulani ni mzuri kuwa attended na muda fulani is obvious utahudumiwa haraka kwa sbb wahusika utawakuta wa wingi wao.
 
Heheheh pole sana mkuu next time una balance shobo tu!😅
 
Sasa jana nilikua namskia dada m1 anasema ...heee.leo aisee nilikua nmechoka kwel kazin. Nawaza kurud nyumban..et akawazaaa na kuwazua..akaona awashe Ac za ofisi zotee ili umeme uishe aondoke...nkasema huyu dada sjui anauza mini supermarket au nin...ndo akil za wabongo mkuu
 
Heshimu muda ws lunch wa wenzio.... fuata huduma baada ya muda huo!!!
 
Malezi (Hili ni muhimu sana); lakini pia kuna kukosekana morali kutokana na malipo kiduchu; kutojitambua; kutokuwa na malengo; n.k....
 
Kuna wengine wapo pale TIC. niliwahi kufatilia certificate fulani kwa muda wa zaidi ya miezi miwili...Zile nenda rudi nenda rudi hadi walinzi wa pale walinizoea...Kuna wanafunzi wa IFM walidhani kabisa mm nafanya kazi pale maana ilikuwa kawaida kuniona kwa wiki mara 3..
 
Ndo ulikuwa muda wako wa kula tunda kimasihara mkuu, i hope hukuyumba kwenye hilo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…