Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

Ndiyo maana hatutakaa hata siku moja Afrika tuwe na maendeleo. Wenzetu weupe wapo very commited iwe ni private au ni serikalini.
Kuwa committed ukwamishe deal la wenzio 10 tu uone kama kibarua hakijaota nyasi😅
 
mkuu umeongea jambo la msingi sana, mfumo wetu wa malezi una kasoro, zipo tabia ambazo ni matokeo ya makuzi tuliyopitia tungali wadogo, Leo tunaziona familia za Wahindi hazitetereki kiuchumi kwasababu Wazazi wao huwashirikisha watoto katika kutafuta mali toka wangali wadogo, tunaona miji ya wenzetu ikiwa misafi hata majengo ya miaka mingi yanadumu ni kwasababu ya malezi na ustaarabu waliokuwa nao toka wakiwa wadogo.

kwa kweli yapo mambo ili tufanikiwe kama taifa lazima wazazi wawalee watoto katika misingi itakayowafanya kesho wawe watu bora. Sijisifii lakini najivunia Mama yangu alikataa kuajiriwa akachagua kuwa mjasiriamali ili awe na muda wa kutosha kutulea, aliwahi kuwa na Dada wa kazi lakini nakumbuka hatukudumu naye hata miezi 6 baada ya binti kushindwa kutekeleza majukumu yake. kumbukumbu zangu mara ya Mwisho familia yetu kuwa na Dada wa kazi ni mimi nilikuwa na miaka 3, tokea kipindi hicho kazi zote Mama na Baba walizifanya na kazi ndogo ndogo kama kusuuza vyombo kufuta vyombo, kufua nguo za ndani tulifundishwa tukiwa wadogo sana. Katika uzima sasa hivi ndo naelewa faida ya yale malezi.

leo wapo mabinti wakubwa tu hawawezi hata kupika chai sababu wana mfanyakazi nyumbani, tuna kizazi cha Wavivu, Wazembe ambao wanataka maisha mazuri na bora bila kufanya kazi. Hapa hata kutokomeza tabia mbaya ni changamoto. Kwa kweli tuanzie katika familia
 
Nakubaliana na wewe kuhusu wabunge. Maoni yangu ilikuwa ni kulitazama suala zima kwa mtazamo mpana zaidi ya mishahara na posho za wabunge. Hoja mezani ni attitude ya wabongo kwenye kazi.
 
Mbona Wabongo walio majuu waajiri wanawasifia kwamba ni wachapa kazi wazuri na wengine hata wanataka waletewe Wabongo zaidi ili wawaajiri ali mradi tu wana qualifications husika!?
Mshahara mdogo ni kikwazo kikubwa kwa waajiriwa kutofanya kazi kwa bidii na saa zote kuwa na hofu ya kulipa bills zao ba hivyo kuwaza namna ya kuongeza vipato vyao au wapi wakakope ili waweze kuwa na mahitaji yote muhimu mpaka mshahara mwingine uingie bank.

Nakubaliana na wewe kuhusu wabunge. Maoni yangu ilikuwa ni kulitazama suala zima kwa mtazamo mpana zaidi ya mishahara na posho za wabunge. Hoja mezani ni attitude ya wabongo kwenye kazi.
 
Maelezo yako yangekamilika kama ivi ningekuelewa! hata hivyo, unampa mtu soft copy aende akasomee kwenye computer yake na wakati unafaham wengi hawana.

Anyways, its ok.
duh,hapo ndio uwezo wangu niliokua nao,angalau wengi walikua wanatumia simu zao;
vitabu vingi vya soft copy library havipo,nilichagua njia hii;
asante;
 
Soma tena nilichokiandika ili uelewe,mfano wako na nilichokiandika mimi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mkuu lipa watu mpunga wakalipie bill zao, maneno mengi hayawezi kulipa bill ya umeme......wewe unapima mshahara, ukipimiwa kazi una panic...
 
Sabotage

Wamechoka kufanya kazi na mfumo uliopo
Babu zao ,baba zao ,wanao
hiyo ni ishara wanahtaji mfumo mpya uwaongozi haiwezekani MTU anayekusanya kodi achati na simu ofisini wanachati nn kwasababu cm za ofisi zipo

Madereva huku barabarani wakithubutu chamoto wanakipata

Hata hao watengenezewe sheria upya akithubutu apigwe faini





Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Yeah mkuu ipo haja ya kubadilisha mfumo coz watu wanafanya vitu kimazoea tuu
 
Kwa mawazo hayo kijana kama huyo hawezi kuwa na saving account wala wazo la kufungua biashara yake. Ataishia kuajiriwa na kutegemea mshahara peke yake. So sad..
For sure ..afu watu kama Hawa wakija kustaafu wakipewa kile kiinua mgongo wanaanza kufanya mambo Kwa pupa Kwakua katika maisha yake hakuwahi kupokea pesa kama hiyo hapo Kabla ... [emoji23][emoji23][emoji23]... Exposure ni muhimu sana adse
 
Binafsi huwa nafanya kazi kulingana na ninacholipwa. Waajiri wengi wakuda sana unampimia kazi yake. Muda uliosalia natumia miundombinu yake kutekeleza mambo yangu. Over!
 
Haswaa!! Wanafunzi unapowapa notes wengi wao hung'ang'ana kuzikariri hizo hizo tu kwa ajiri ya kujibia mitihani tu, lakini kupitia vitabu angalau mtu unapata uelewa mpana zaidi kuhusiana na mada fulani.
Power points mwanafunzi ajitengenezee mwenyewe, kwa kufanya hivyo tutakuwa na Taifa la wasomi ambao wanaweza kutembea kifua mbele na kuzitetea degree zao mahali popote ulimwenguni.
 
Na wewe umesahau kipindi upo shule, ulikua unahaha ukiona muda wa kula unakaribia
 
Ivi wewe unaweza kusoma kupitia smart phone Kijitabu cha Advance Accounting? kabisa, yan unasoma kama unavyosoma novel!?

Tuwage siriasi jaman! ndio mana ile ikaitwa simu! kila kifaa kina umuhim wake na matumizi yake! Simu unaishia kusoma novel tu na sio vitu kama accounts, maths etc.
 

ni kweli mkuu ukishajiwekea mipaka..
 
Mm ni mtumishi wa umma sijapandishwa mshahara tangu 2015 !!!
Nimeangalia kalenda niksona sikukuu ya Nane nane ni jumapili kweli nimelia!!!
 
Hili tatizo lipo huyu alieleta mada hii ninahakiki amefanya kautafiti kidogo anajua alichoandika ww kama unaleta ushabiki sawa hata huku mtaani kwenye vibarua vidogovidogo tunayaona watu wanataka hela sio kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…