Hiyo ni hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandiki.Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Hao jamaa kazi yao ni kusifu chama tu siku hiziHiyo ni hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandiki.
Ndiyo wamekua hivyo tena?Basi hawajitambui.Hao jamaa kazi yao ni kusifu chama tu siku hizi
Mmmhh!Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
This is hideous.Watafutwe na kunyweshwa aspirin.Wana homa.Kama ATCL zamani
Tanzania nchi yangu imetawaliwa na drama nyingi.Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Kila kitu ni hujuma, unasahau tatizo moja kubwa sana “UZEMBE” , kama kuna kitu serikal inafeli ni uzembe wa watu wanaowapa kusimamia hizi serviceHujuma zimeanza tayari ili waue shirika
Labda afafanue zaidi maana huenda na yeye alitaka kwenda pugu hivo ilitakiwa apande mpaka pugu then hao wa pugu waingieKweni Abiria wote wataondokea Central Station?! Si wengine wamebuku wanapandia kwenye Vituo hata Pugu.
Labda ungesema waongeze Mabehewa au hata safari ziongezwe.