KERO Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

KERO Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwani si wanalipa sasa shida ikl wapi unaita hujuma. Kiukweli hapo anaekuwa amehujumiwa ni wao maana wanalipa na huduma hawachukui.

Ila hizi zinaonekana ni baseless allegations tu. Mnapenda sana kutunga vitu ili kuleta taharuki. Mnakosea sana
 
Sidhani kama ni hujuma za watu wa mabus. Abiria ni wengi sana jamani hiyo train haiwez accommodate abiria wote wanaosafari kwa siku
 
Kuna Siku Ilikuwa Jumatano Nakwenda Kukata Ticket KwaAjili Ya Ijumaa
Nikaambiwa Daraja La Kwanza (Royal),La Pili Yameshajaa
Nafasi Zipo Daraja La Tatu Tu (Economy)

Sina Ushahidi Endapo Ndiyo Hujuma Ama Vp Ila Tunalichukua Hili Tunaendanalo Kwa Masanja Kungu Kadogosa TRC Atuambie Miamala Ipo Ama Linasafiri Hewa Tupu
 
Back
Top Bottom