Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
Nilijua tu lazima iwe hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa afafanue zaidi Destination yake.Labda afafanue zaidi maana huenda na yeye alitaka kwenda pugu hivo ilitakiwa apande mpaka pugu then hao wa pugu waingie
Kwa Waarabu.Baadae wataibinafisha kwa bei chee
Hiyo "tereni" ikitoka Daslamu kituo cha kwanza kusimama huwa ni wapi?Kweli kabisa afafanue zaidi Destination yake.
mapema tuKwa Waarabu.
Kwa hii mpya sijui ila kwa ile Reli ya kati ilikuwa kama sijasahau kwa maana ni siku nyingi mimi sijapanda "Gari Moshi", Stesheni baada ya Central ilikuwa ni Pugu.Hiyo "tereni" ikitoka Daslamu kituo cha kwanza kusimama huwa ni wapi?
Hii haieleweki. Si wanalipia? Hasara inatoka wapi?Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Uzembe ndio hujuma yenyewe sasaKila kitu ni hujuma, unasahau tatizo moja kubwa sana “UZEMBE” , kama kuna kitu serikal inafeli ni uzembe wa watu wanaowapa kusimamia hizi service
Wewe ukienda mara nne unakosa nafasi utaenda tena mara ya tano au sita?Kama wanafanya booking hakuna shida.maana wanakuwa wamelipa
Kisha anaye nunua jumla naye anaacha kununua.Wewe ukienda mara nne unakosa nafasi utaenda tena mara ya tano au sita?
Ni kweli kabisa.Vita si lazima ubebe ak47.
Itakula kwake maana wanaotaka safari ni wengi mno. Na hao walioacha iko siku watajaribu tena bahati yao.Kisha anaye nunua jumla naye anaacha kununua.
CC: Fundi Mchundo
Ni kweli kabisa.Vita si lazima ubebe ak47.
Nilitaka kuuliza.hivWanafanya booking bila kulipia au?
DomDaaaaah