Lakini siwanakuwa wamelipa nauli tayari au ?Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hii siyo kweli. Kama siyo wanapanda vituo vya mbele basi wamechelewa. Kwa sababu ukifanya booking inatoa muda wa kulipia. Ni chini ya dakika 50 kama sikoseiUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hili jambo linafikirisha sanaUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Uko sahihi..lakini ndio iwe kwa behewa zima? Yaani ukiwa unaomba zile siti hazifunguki kwa kumaanisha zimeshanunuliwa.Kweni Abiria wote wataondokea Central Station?! Si wengine wamebuku wanapandia kwenye Vituo hata Pugu.
Labda ungesema waongeze Mabehewa au hata safari ziongezwe.
Lakini watu wanaotuhumu kuwa ni Makampuni ya Mabasi ndio yanahujumu mimi naona ni UFINYU wa FIKRA.
Swali zuri sana hiliWanafanya booking bila kulipia au?
kama TRC inataka kufanya biashara,iangalie suala hiliUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Nilijua ni mm tu ndiyo nakutana na hiyo hali aisee, yaani unakuta siti zote ziko inactive huwezi kuselect maana yake ziko booked ila ukienda pale station unakuta watu wananunua ticket, na ukiingia ndani empty siti unakuta za kutosha tu.Hii nilishaiona week sasa.
Siku tatu treni zote zimajaa na ukienda huoni kuwa zimejaa
Siyo sawa ulivyoongea. Kwani ticket inatolewa ukifanya booking au ukilipa pesa? Kama pesa inalipwa kuna hujuma gani?Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Utapeli mwingi na kukomoa wananchi wa kawaida. Unakuta mwenye pesa anaamua tu kukatia tiketi watu kama 20 lakini hasafiri na hakuna taarifa ya yeyee kuahirisha safari ndio maana unaona joka linaondokaa sismizi kudandia juu yake.......Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Booking huwa hamna kulipaWanafanya booking bila malipo au wanalipa??