kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Kipindi cha mwenda zake walikuwa macho sanaHiyo ni hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha mwenda zake walikuwa macho sanaHiyo ni hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandiki.
Na kama sio Mtu itakuwa ni kikundi cha watu! hao ni wahujumu wa Uchumi wetu! Rais awe Mkali ktk hili asicheke nao.Kwamba kuna mtu ana shindana na Rais
Ulikuwepo kwenye vita ya Uchumi ya awamu ya Tano nini? Maana hizi hisia feki zilikuwa kibaoUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Kabisa at least hata kwa mbali tuwe na mawazo chanya...hata kidogo tu.Kuna abiria wengine wanapanda vituo tofauti sio wote wanaanzia dar, tuwe tunaelewa ndugu zangu watanzania tuache lawama.!!
Foolishness..!Hiyo ni hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandiki.
Kama ulivyozaliwa na DNA ya foolishness!Foolishness..!
Wabongo tumezoea kila kitu lawamaKabisa at least hata kwa mbali tuwe na mawazo chanya...hata kidogo tu.
Kwanini kila kitu tuwaze upigaji tuu????
Kwa mfano: ATCL aliwahi shutumiwa kuwa anawaambia watu siti zimejaa na ndege zinaenda tupu.
Kumbe kuna sababu za msingi sana moja wapo ni load balancing ya ndege, Ili ndege iweze kuruka na kutua kwa usalama. So inawalazimu ule uzito wa abiria wa siti kadhaa ufidiwe na mizigo ambayo kibiashara kwao ni sawa.
Same to TRC wamekiri kuna changamoto na wanaifanyia kazi.
Serikali sio wajinga wawekeze matrillioni tena ya mkopo alafu wakae kimya bila action...
hiyo booking si wanailipia lakini au?Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Na wenyewe wanaangalia namna ya kurefusha kamba zao.hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandiki.
Hilo litafanyiwa kazi.Wengine waadilifu.Na wenyewe wanaangalia namna ya kurefusha kamba zao.
Tren zote zimejaa, unaenda kufanya nini? Na unaingiaje bila tiketi?Hii nilishaiona week sasa.
Siku tatu treni zote zimajaa na ukienda huoni kuwa zimejaa
📌Wengine waadilifu
Hujuma ni nini na uzembe ni nini kwa tafsiri ya lugha ya Kiswahili.Diffference between hujuma na uzembe ni kwamba hujuma inakuwa planned, uzembe si planned ni result ya uvivu uliopindukia
Mwendazake alikuwa hana masihara kwa wajinga na wazembe ambao wanafelisha mipango yake.Angekuwepo Mwendazake wangemalizwa wote na ujinga wao, ipo siku hawa waarabu itabidi waondoke watupishe
Eti seeikali syo wajing wamewekeza matrilion 😄Kabisa at least hata kwa mbali tuwe na mawazo chanya...hata kidogo tu.