KERO Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna abiria wengine wanapanda vituo tofauti sio wote wanaanzia dar, tuwe tunaelewa ndugu zangu watanzania tuache lawama.!!
 
Kabisa at least hata kwa mbali tuwe na mawazo chanya...hata kidogo tu.
Kwanini kila kitu tuwaze upigaji tuu????
Kwa mfano: ATCL aliwahi shutumiwa kuwa anawaambia watu siti zimejaa na ndege zinaenda tupu.
Kumbe kuna sababu za msingi sana moja wapo ni load balancing ya ndege, Ili ndege iweze kuruka na kutua kwa usalama. So inawalazimu ule uzito wa abiria wa siti kadhaa ufidiwe na mizigo ambayo kibiashara kwao ni sawa.
Same to TRC wamekiri kuna changamoto na wanaifanyia kazi.
Serikali sio wajinga wawekeze matrillioni tena ya mkopo alafu wakae kimya bila action...
 
Hii inawezekana hasa ikiwa mfumo wa ulipaji hauna cyber security imara. Mtu anaweza kushikilia ticket hewa na kuonekana zimejaa(kumbuka stock market crash mbalimbali zilizosababisha recession)
Hali hii inaweza kuwa mtu wa ndani au nje ya mfumo ili kucreate demand na pia kuua biashara. Tuwe makini, tuimarishe mifumo ya malipo ili kulinda uchumi wa nchi.
 
Kabisa at least hata kwa mbali tuwe na mawazo chanya...hata kidogo tu.
Kwanini kila kitu tuwaze upigaji tuu????
Kwa mfano: ATCL aliwahi shutumiwa kuwa anawaambia watu siti zimejaa na ndege zinaenda tupu.
Kumbe kuna sababu za msingi sana moja wapo ni load balancing ya ndege, Ili ndege iweze kuruka na kutua kwa usalama. So inawalazimu ule uzito wa abiria wa siti kadhaa ufidiwe na mizigo ambayo kibiashara kwao ni sawa.
Same to TRC wamekiri kuna changamoto na wanaifanyia kazi.
Serikali sio wajinga wawekeze matrillioni tena ya mkopo alafu wakae kimya bila action...
Wabongo tumezoea kila kitu lawama
 
Angekuwepo Mwendazake wangemalizwa wote na ujinga wao, ipo siku hawa waarabu itabidi waondoke watupishe
Mwendazake alikuwa hana masihara kwa wajinga na wazembe ambao wanafelisha mipango yake.
Si huyu Bi.Mkubwa utasikia....mkalifanyie kazi hili......"
 
Kabisa at least hata kwa mbali tuwe na mawazo chanya...hata kidogo tu.
Kwanini kila kitu tuwaze upigaji tuu????
Kwa mfano: ATCL aliwahi shutumiwa kuwa anawaambia watu siti zimejaa na ndege zinaenda tupu.
Kumbe kuna sababu za msingi sana moja wapo ni load balancing ya ndege, Ili ndege iweze kuruka na kutua kwa usalama. So inawalazimu ule uzito wa abiria wa siti kadhaa ufidiwe na mizigo ambayo kibiashara kwao ni sawa.
Same to TRC wamekiri kuna changamoto na wanaifanyia kazi.
Serikali sio wajinga wawekeze matrillioni tena ya mkopo alafu wakae kimya bila action...
Eti seeikali syo wajing wamewekeza matrilion 😄
Sawa wausimamie tu huu mradi
Wasifeli kama kawaida yao tu

Ova
 
Back
Top Bottom