Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Define upungufu wa akili? Is it relative or actual?wameingilia na nawaunga mkono waingilie ikiwa kwa wakati huo unafanya jambo ambalo halikubaliki sio tu na mtu mwenye akili timamu ila hata mbwa na paka hawawezi kufanya huo ujinga wa kuoa SINGO MAZA(SINGO JIKE).
Ukiwa na upungufu wa akili na ulemavu wa mawazo kubali tu watu wajitolee kukusaidia ni kwa faida yako. Usikaze fuvu.
Duh 😃 hadi wewe??Kusema kweli kijana mbichi aliyejitunza na kuamua kuoa....kwa kweli kuoa single mother haijakaa vizuri.......ni sawa na kujiandaa na kugharamia chakula ukiwa unasubiri kwa hamu unaletewa makombo na mhudumu........
Mkuu mtanzania mijinga imeshadadia kutukana dada na mama zao ilihali wengi wao wamezaliwa na hao hao wanaowatusi. Narudia tena Moderator futa huu uzi
Kama tayari umeshapata mtoto wekeza nguvu katika kutafuta pesa
Kaa mbali Sana na mambo ya ndoa
Wasamehe mkuuKusema kweli kijana mbichi aliyejitunza na kuamua kuoa....kwa kweli kuoa single mother haijakaa vizuri.......ni sawa na kujiandaa na kugharamia chakula ukiwa unasubiri kwa hamu unaletewa makombo na mhudumu........
Ndugu zetu wakike, dada zetu, mashangazi, ma mdogo ambao kati yao pia utakuta wamo ambao waliolewa wakiwa single mothers wanatuzuia kuoa single mothers nadhani kuna siri wanayo hawatuambiiYaani humu wengine wana comment kama vile hawa single maza wanatoka sayari nyingine ambako wao hawaishi. Sidhani kama kuna ukoo wowote hapa Tanzania hauna single maza.
Eti shangazi, mama, dada àtakushangaa ukioa single maza, kwani single Maza ni wajomba, baba, kaka?