Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

wameingilia na nawaunga mkono waingilie ikiwa kwa wakati huo unafanya jambo ambalo halikubaliki sio tu na mtu mwenye akili timamu ila hata mbwa na paka hawawezi kufanya huo ujinga wa kuoa SINGO MAZA(SINGO JIKE).

Ukiwa na upungufu wa akili na ulemavu wa mawazo kubali tu watu wajitolee kukusaidia ni kwa faida yako. Usikaze fuvu.
Define upungufu wa akili? Is it relative or actual?
Kumbe unaelewa ujumbe, in that case maybe wako probably right but muhusika asiendekeze kufanyiwa maamuzi, sehem ambayo angeweza kufanya mwenyewe
 
Yaani humu wengine wana comment kama vile hawa single maza wanatoka sayari nyingine ambako wao hawaishi. Sidhani kama kuna ukoo wowote hapa Tanzania hauna single maza.
Eti shangazi, mama, dada àtakushangaa ukioa single maza, kwani single Maza ni wajomba, baba, kaka?
Ndugu zetu wakike, dada zetu, mashangazi, ma mdogo ambao kati yao pia utakuta wamo ambao waliolewa wakiwa single mothers wanatuzuia kuoa single mothers nadhani kuna siri wanayo hawatuambii
 
Back
Top Bottom