Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

Inategemea, km na wewe una kamsululu wa vitoto hawezi kukataa..!!

Wazazi wanakataa km kijana hajawahi kuishi na mke wala mtoto, nyie migume gume ruksa hata mkioa single maza wa watoto saba fureshiii tu 😹
 
SINGO MAZA wamefungua mwaka 2025, humu tu humu tu😂😂😂......piga SPANA SINGO MAZA.

January mpaka December SINGO MAZA anapigwa left,right, up ,down and center.

#AMELAANIWA YULE ATAKAYEOA SINGO MAZA,imeandikwa.
 
Although not a fan wa kuandamana na single mothers , niseme si vizuri mwauame kupangiwa nani wa kuoa na wazazi ,let alone shangazi
Watabaki washauri but hawana mamlaka by any means
Kama huna akili timamu mpaka unataka uoe singo maza, washukuru sana ndugu zako kwakua wanakuokoa na laana na aibu ndogondogo.

Acha kuwa aibu kwenye jamii yako.
 
Kama huna akili timamu mpaka unataka uoe singo maza, washukuru sana ndugu zako kwakua wanakuokoa na laana na aibu ndogondogo.

Acha kuwa aibu kwenye jamii yako.
Nadhani hujaelewa concept ya nilichotaka kusema. Hamna mahali nimesema it okay kuoa hao watu, but then nime high light si vizur wazazi kuingilia decision zako of who umuoe
Non single mum or not

Sasa wewe unakuja na conclusion za ajab, read between the line kwanza
 
Ni laana kudate na mwanamke aliyezalishwa na mwanaume ambaye bado yupo hai!!

Single maza ni mke wa mtu.. Mumewe atatomber muda wowote akimuhitaji.
I feel so sorry kwa wanawake wenzangu, iliyowakuta bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wakashindwa kuwa na baba za hao watoto.....

Mnawasimanga hadi mnapitiliza, utadhani sio wanaume waliowapa hao watoto....mnakufuru
 
Inawezekana wengi wasiojielewa wanawaharibia wachache wanaojitambua. Kudate na single mother ni risk ya moyo kuzima mazima kwa presha!.
 
Na kama mama yako mwenyewe na shangazi pia single mazaz?? Mtakosana pia??
Yaani humu wengine wana comment kama vile hawa single maza wanatoka sayari nyingine ambako wao hawaishi. Sidhani kama kuna ukoo wowote hapa Tanzania hauna single maza.
Eti shangazi, mama, dada àtakushangaa ukioa single maza, kwani single Maza ni wajomba, baba, kaka?
 
Nadhani hujaelewa concept ya nilichotaka kusema. Hamna mahali nimesema it okay kuoa hao watu, but then nime high light si vizur wazazi kuingilia decision zako of who umuoe
Non single mum or not

Sasa wewe unakuja na conclusion za ajab, read between the line kwanza
wameingilia na nawaunga mkono waingilie ikiwa kwa wakati huo unafanya jambo ambalo halikubaliki sio tu na mtu mwenye akili timamu ila hata mbwa na paka hawawezi kufanya huo ujinga wa kuoa SINGO MAZA(SINGO JIKE).

Ukiwa na upungufu wa akili na ulemavu wa mawazo kubali tu watu wajitolee kukusaidia ni kwa faida yako. Usikaze fuvu.
 
Ukikosa bikra jitahidi angalau uoe mwanamke ambaye hajazaa
Hatusemi kwamba mwanamke bikra ndiye perfect, hapana...hatuna maana hiyo.
Kwa kweli tafuta na uoe mwanamke bikira, (siyo mabikira wa Pwani au wa kiarabu lakini). Ukioa asiye bikra maana yake umeokota majeruhi mwenye maumivu yake, mwenye hasra zake, mwenye chuki. Utamuuguza, siku atakapokuja kupona, huku mkiwa katika mazingira yaleyale, basi asipokutumia kama fimbo basi atakugeuza ngazi, au Moyo wake utahitaji kurudi 'home sweet home' yaani kwa wale waliowahi kumuumiza. Na ili aweze kurudi ni lazima amalizane na wewe wanza na kivyovyote.
 
I feel so sorry kwa wanawake wenzangu, iliyowakuta bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wakashindwa kuwa na baba za hao watoto.....

Mnawasimanga hadi mnapitiliza, utadhani sio wanaume waliowapa hao watoto....mnakufuru
Uwezo wao ulikuwa ni KUBANA MAPAJA,dont feel sorry for losers!!!

They deserve hizi banters hii ndio njia pekee ya kuleta REDEMPTION kwa wanawake waziheshimu nyuchi zao na kuona wao wakiamua kubana mapaja sisi men hatuna ujanja ila kufata utaratibu.

Bila kuwapiga spana hivi sasa GEN Z wanazaa hovyo kwakuwa nyie wakubwa mmezaa hovyohovyo na mnataka kunormalize USINGO MAZA uonekane ni jambo linalokubalika katika jamii.

Hamjui thamani zenu, thamani ya mwanamke ipo kwenye usiri wa UCHI wake!!!!

Wanawake mnanguvu sana ila hamjaamua wala kujua jinsi ya kuzitumia. Sasa wacha muendelee kutumika kisha kutupwa kama tissue paper.

#Ongezeni kujitambua,na mjue thamani zeni neno SINGO MAZA litapotea lenyewe.
 
Hatusema kwamba mwanamke bikra ndiye perfect, hapana...hatuna maana hiyo.
Ukioa asiye bikra (siyo maira wa Pwani a wa kiarabu lakini) maana yake umeokota majeruhi mwenye maumivu yake, mwenye hasra zake, mwenye chuki. Utamuuguza, siku atakapokuja kupona, huku mkiwa katika mazingira yaleyale, basi asipokutumia kama fimbo basi atakugeuza ngazi, au Moyo wake utahitaji kurudi 'home sweet home' yaani kwa wale waliowahi kumuumiza. Na ili aweze kurudi ni lazima amalizane na wewe wanza na kivyovyote.
Well said........uzi ufungwe!!!!

Wale wanaume vilaza wote,waliooa SINGO MAZA,WANAO DATE SINGO MAZA,NA WALE WENYE ROHO ZA HURUMA ZA HOVYO(MABWEGE),mje msome hapa sababu za kwanini hutakiwi hata kuwaza kuwa na SINGO MAZA.

#KATAA SINGO MAZA,KATAA LAANA!!!!
 
Back
Top Bottom