Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

Nendeni mkamguse Sasa juzi tu kafagia wanajeshi wenu na anatamba mmebaki kuwa keyboard warrior
 
Kilaza katika ubora wake,hivi unayajua yanayotokea katika utawala wa Kagame au umeandika kuonyesha ufundi wa uandishi.Hakuna mhimili wowote unaoweza kuhoji utawala wa PK ni alfa na omega.Tz kuna shida ila ya kwa KP ni mara 10 ya yanatokea TZ
 
Twiga wanawanasa sana Mawaziri, Maofisa Usalama, Wanajeshi na Watumishi wa Umma.
Wengine wameolewa na ma coo wakurugenz yaaniiii aibu aibuuuu hao vijana wakileo wapenda toto zuri ndio balaa tupu wananaswa kama ulimbo hakuna maadili wana tia hapa wanatia pale wakijiona wajanja kumbe wamenaswaaaaaaaaa...
 
Bora kuoa. Wanapenda kweli michepuko ya pande zile
 
Nendeni mkamguse Sasa juzi tu kafagia wanajeshi wenu na anatamba mmebaki kuwa keyboard warrior
mkuu

kagame aendelee kuitesa kongo sababu haina serikali

sisi hatuna wanajeshi kongo,walioko huko ni retirees,tena wametumwa kuangalia na wala sio kupigana

hakuna nchi au serikali yetu ipeleke wanajeshi wake na artlilleries zake kongo ikasaidie nchi ingine ndugu

kagame yeye anajitia anaweza sana,basi aguse coordinate yeyote ya ardhi ya Tanzania auwawe
 
Yale majeneza yaliyovalishwa bendera za tanzania na kuagwa mwaka huu na jwtz ni ya nchi Gani?
 
Kilaza katika ubora wake,hivi unayajua yanayotokea katika utawala wa Kagame au umeandika kuonyesha ufundi wa uandishi.Hakuna mhimili wowote unaoweza kuhoji utawala wa PK ni alfa na omega.Tz kuna shida ila ya kwa KP ni mara 10 ya yanatokea TZ
We jinga kweli yaani Rais wa Rwanda ufananishe na takataka za tanzania
 
Yale majeneza yaliyovalishwa bendera za tanzania na kuagwa mwaka huu na jwtz ni ya nchi Gani?
wale sio active soldiers mzee..wale ni wastaafu waliomba kwenda

tena wa "kuangalia" na wala sio kupigana

TZ ipeleke resources zake kongo kwa faida gani ndugu?

kafieni huko

guseni Tanzania mainland,he will be dead!
 
Kwahiyo jwtz ni jeshi la wastaafu tanzania kumbe ndio kifuoi chake jwtz nimekupata ndio maana siku hizi wanajeshi wanachapika mitaani kumbe wastaafu kagame ana haki ya kutamba
 
Kagame ni Rais wa nchi .
Yule mwingine ni Rahisi wa inchi ya machawa na mashekhe wasiojua hata nini kilichopo kwenye Katiba zaidi ya kunukuu biblia kwamba zitiini mamlaka .

Tanzania hii ya machawa na wala mafisadi isije ikathubutu kuanzisha chkochoko na nchi yoyote ya jirani labda Burundi na Komoro .

Wasijaribu kuichokonoa Malawi,
Wasijaribu Kenya
Wasijaribu
Wasijaribu Rwanda
Wasijaribu Uganda ya Museven

Leo vijana ambao ndio wanaopaswa kulipigania raifa lao wamewekwa mbali kabisa na uchumi na rasilimali za nchi yao . Sasa wataipigania hii nchi kwa manufaa ya nani wakati wao hawana sehemu katika keki ya Taifa .
Tanzania hii sio ile ya Watanzania wote chini ya Mwalimu Nyerere . Hii ni Tanzania ya familia ya Mwnyi .Kikwete, Samia ,Bashe na Mwigulu .
 
Endelea kujitekenya na kucheka
 
C
CCM ilikosea sana kwamba ukishavaa nguo ya CCM hata kama ni jambazi mwizi wanakuacha wafanya biashara alamu wengi wamejificha kwenye kivuli cha chama
 
Umeongea maneno mazito ya ukweli kabisa
 
C

CCM ilikosea sana kwamba ukishavaa nguo ya CCM hata kama ni jambazi mwizi wanakuacha wafanya biashara alamu wengi wamejificha kwenye kivuli cha chama
CCM ni chama tu cha siasa. Hakipaswi kuchukua nafasi ya Taifa wala Katiba yake.

Taasisi nyeti zikilitambua hili zitasimama na Taifa na sio CCM wala Viongozi wake walafi na mafisadi. Na hapo ndo nchi yetu ingepona.
 
Bahati mbaya huelewi mambo na huna unachojua...kwa kukugusia kidogo idara yetu Wazee wa (eagle wing house) wanamuelewa na wanaijua vyema serikali ya Kigali...ni vile tunanufaika nao kiuchumi la sivyo tungeshasahau Kama Tall aliwahi tawala, kiufupi si tishio kwetu, tunalijua hilo vizuri....wasiwasi wake unamsumbua...anajua vizuri akikosea kidogo nini kitampata...ONDOA HOFU KIJANA,
 
Kwel kbc umenikumbusha na vile CDF alisema kuwa Tyr Kuna watu wslishapenyezwa had kwenye mifumo ya nchi wametulia wakiusoma mchezo
 
Tangu lini njiwa kawa eagle?
 
CCM ni chama tu cha siasa. Hakipaswi kuchukua nafasi ya Taifa wala Katiba yake.

Taasisi nyeti zikilitambua hili zitasimama na Taifa na sio CCM wala Viongozi wake walafi na mafisadi. Na hapo ndo nchi yetu ingepona.
Sasa Nan wa kusimama ilihali wote wanasifu na kuabudu
 
Sasa Nan wa kusimama ilihali wote wanasifu na kuabudu
Ni suala la kuchukua hatua tu.

Taasisi hizi zijitambue rasmi na kusimamia mustakabali wa nchi.

Zinapaswa kujitenga na CCM na kuwafanya waujue ukweli kuwa wao ni chama cha siasa tu na sio sehemu ya dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…